Madhara ya ulaji wa chips

Huyo anajifaragua tu. Eti asile mchele, viazi na vitu vingine atakula nini? Sumu za kwenye makopo kutoka Afrika Kusini kwenye masupamaketi uchwara? Na wangapi wanaweza kumudu hizo sumu za supamaketi? Anachekesha!

Hahahahahahahahaha
 
Naomba Chipsi Zege isikauke sana changanyia na kachumbari mix mix tia pilipili....tomato redgold chumvi weka pembeni usisahau na ukwaju..
Mwambie wavinywaji alete Pespi bariiidi nikiwa nasubiria
Usisahau mishkaki.
 
Ni utani tu huu mkuu. Relax!
 

take it easy mkuu hizi ni tambo (utani) tu watu hawachukulii seious kiviile ni sawa na watani wa jadi Simba na yanga = wanaume wa dar na mkoa hahahahh
 
Ww hujui rwanda iko mbele yetu ktk sekta nyingi?
Magufuli ameagiza wataalamu wa ndege na sisi tutaleta wa viazi ndio wapo mbele zaidi yetu ndio nikawaita wataalamu wetu.
 
Reactions: C J
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…