Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,656
Nchi yetu imejengwa katika misingi ya Ushirikiano wa Kiuchumi, Kiutamaduni na Kisiasa baina yetu wenyewe na nchi marafiki. Kwa uelewa wangu,jambo baya nyumbani kwako hasa unapolithibitisha mwenyewe kuwa lina madhara hata kwa jirani,uhusiano wenu utaingia mashaka!
Lakini,ukichunguza,unaona jirani yako huyo unayemweleza,kwake tatizo hilo ni mara 3 zaidi yako. Na yeye hatangazi, yuko kimya KIMKAKATI.
Je,kuna madhara yoyote kwetu kimahusiano na nchi marafiki kwa kujitangaza tuna drug dealers wengi?