Nafikiri kuna kila sababu ya nyumba za ibada kutoitwa majina ya watu, maana watu hao watakapokumbwa na kashfa inamaana nyumba hiyo ya ibada itajikuta nayo imepata kashfa. Hii ni pamoja na kuepuka kuita majina ya shule majina ya viongozi mashuhuri, tatizo linakuja pale viongozi hao wanapokuwa wamevurunda na kujikuta wako kwenye kashfa mwonekano wa shule hiyo au taasisi ya dini kihadhi inaweza kushuka. Nafiri nitakuwa nimeeleweka!!!!!!!