Madhara ya nyumba za ibada kuitwa majina ya watu

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Nafikiri kuna kila sababu ya nyumba za ibada kutoitwa majina ya watu, maana watu hao watakapokumbwa na kashfa inamaana nyumba hiyo ya ibada itajikuta nayo imepata kashfa. Hii ni pamoja na kuepuka kuita majina ya shule majina ya viongozi mashuhuri, tatizo linakuja pale viongozi hao wanapokuwa wamevurunda na kujikuta wako kwenye kashfa mwonekano wa shule hiyo au taasisi ya dini kihadhi inaweza kushuka. Nafiri nitakuwa nimeeleweka!!!!!!!
 
Ni vizuri kwa historia,kama atakuwa fisadi,vizazi vinavyo kuja vitajua tu kwamba kuna mtu alikuwa fisadi na jina lake ndo hilo hapo
 
Nafikiri kuna kila sababu ya nyumba za ibada kutoitwa majina ya watu, maana watu hao watakapokumbwa na kashfa inamaana nyumba hiyo ya ibada itajikuta nayo imepata kashfa. Hii ni pamoja na kuepuka kuita majina ya shule majina ya viongozi mashuhuri, tatizo linakuja pale viongozi hao wanapokuwa wamevurunda na kujikuta wako kwenye kashfa mwonekano wa shule hiyo au taasisi ya dini kihadhi inaweza kushuka. Nafiri nitakuwa nimeeleweka!!!!!!!

nijuavyo mimi ni kwamba tunaita majina kutokana na watu watakatifu wa wakati uliopita. sasa kama unaita kwa kuwa umejenga wewe au vyenginevy kwa kujipatia umaarufu hilol ni suala jengine.
 
Back
Top Bottom