Madhara ya mikanda ya kupunguza tumbo kwa wadada

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
Habari ya mda huu ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa kuwa kuna madhara gani ya kufunga mikanda ile ya kupunguza tumbo kwa wadada
 
Hii mikanda huwa inaleta mabadiliko katika utumbo ndani.......maana utumbo unakuwa umebonyezwa kutokana na presha ya mkanda...... nadhani madaktari wanamaelezo zaidi kwa mapana na marefu..............!
 
Mikanda yenye ndo kama huo kwenye hiyo picha
 
Attachments

  • 1445696394185.jpg
    1445696394185.jpg
    12.9 KB · Views: 1,807
Mkuu senzoside nakushauri zaidi upunguze hizo nyama (ikiwa ni wewe) au umshauri (anayetaka kupunguza) kwa njia ya MAZOEZI TU,hiyo mikanda huwa inazuia flow nzuri ya damu za kutoka kwny miguu na hips na hata Spinal cord kwenda sehemu ya juu ya mwili mpk kwny ubongo. Pia inabana utumbo siku baada ya siku japo mtumiaji hawezi gundua kiurahisi.
 
Last edited by a moderator:
Mikanda yenye ndo kama huo kwenye hiyo picha

Duh umekuwaje mzuri ...ndio ww apo au?
Nunua iyo kitu haina madhana wanakuzingua hao! Just train ur waist .o ni waist training sio dawa , hao wasiojua maana usiwaambie maana!

Eti madhara kwani mazoezi hayapunguzi mwili !? Nayo kwa iyo yanaleta madhara?
 
Mkuu senzoside nakushauri zaidi upunguze hizo nyama (ikiwa ni wewe) au umshauri (anayetaka kupunguza) kwa njia ya MAZOEZI TU,hiyo mikanda huwa inazuia flow nzuri ya damu za kutoka kwny miguu na hips na hata Spinal cord kwenda sehemu ya juu ya mwili mpk kwny ubongo. Pia inabana utumbo siku baada ya siku japo mtumiaji hawezi gundua kiurahisi.

Kwa mfano nikiwa nimefunga alafu naendelea na mazoezi kama kawaida inakuwaje? ... Kwasababu mazoezi pekee tumbo halipungui kabisa
 
Last edited by a moderator:
Duh umekuwaje mzuri ...ndio ww apo au?
Nunua iyo kitu haina madhana wanakuzingua hao! Just train ur waist .o ni waist training sio dawa , hao wasiojua maana usiwaambie maana!

Eti madhara kwani mazoezi hayapunguzi mwili !? Nayo kwa iyo yanaleta madhara?

Jamani kweli isije ikawa ina madhara haiwezi ikaharibu mfumo wa uzazi? Unashangaa nashidwa kupata mtoto
 
Kwa mfano nikiwa nimefunga alafu naendelea na mazoezi kama kawaida inakuwaje? ... Kwasababu mazoezi pekee tumbo halipungui kabisa

Mazoezi ya tumbo + kunywa maji ya vuguvugu yenye limao asbh kbl ya chai yanapunguza mafuta ya tumbo pamoja na uzito kwa haraka sana tu...labda wewe unafanya mazoezi kivivu au mara chache then unakula vyakula vya mafuta sana.
 
Exactly na hiki ndo cha kuzingatia na Kuepuka
 
Back
Top Bottom