Madhara ya kuvuka stage!

Madhara ya kuvuka stage!

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
213
Reaction score
41
Mamboz wana jf!, bila mko poa.

Ni swala ambalo huwa najiuliza mara kwa mara je kuna ka ukweli ndani yake. (kuvuka stage namaanisha kutofanya mambo yale ambayo foolish age wengi wakiyafanya).

Dhana iko kwa me zaidi

Iko hivi, mara kwa mara tangu nasoma utasikia mtu akifanya jambo lisilo la kawaida kwa jamii husika utasikia ndo madhara ya kuvuka stage mwingine utasikia anasema ngoja niwe totoz(wapenzi) sahivi baadaye nikioa nitatulia, ukiona babu anahangaika na vitoto ati alivuka stage, professor/lecturer/mwalimu amempa denti mimba ati ndo wakati wa ujana ati alikuwa bize na kusoma tu. je wadau hapo kuna ka ukweli?, na kama kuna ka ukweli nini kifanyike, ndo kusema tuacha waendelee ili wasivuke stage?

Mtakubaliana nami kuwa kizazi cha sasa (doti.com) ndo naweza kusema kinaongoza kwa watoto/Vijana kuanza mambo mapema kuliko vijana wa miaka ya 80's ikiwemo mapenzi na kadhalika ndo tusema baadaye hatutashuhudia kupungua kama si kuisha kabisa matukio ya wababu/wabibi kutembea na wajukuu wao kwa kigezo cha kutovuka stage?

maoni yako mdau we wasemaje,

Karibuni!!!!
 
Una hakika gani kama watoto wa sasa wanaanza mambo mapema kuliko wa zamani? Huoni zamani bint wa miaka 14 tu anaolewa?

Kuruka stage sijui, but ukizingatia law of diminishing marginal utility. . . .
 
^^
Ni ukweli wa kisaikolojia ingawa sipendekezi watoto waruhusiwe,,wanapozizoea mapema ndio kelele za leo za 'haniridhishi haniridhiki' Utaridhikaje ikiwa umezoea wengi.
^^
 
sio kuolewa I mean jijig. wanaanza jigijig mapema mno darsa la pil tu ashaanza jigjig


Una hakika gani kama watoto wa sasa wanaanza mambo mapema kuliko wa zamani? Huoni zamani bint wa miaka 14 tu anaolewa?

Kuruka stage sijui, but ukizingatia law of diminishing marginal utility. . . .
 
ni kweli mkuu, ndo utasikia hanifikishi kibo mara mawenzi we umezijulia wap


^^
Ni ukweli wa kisaikolojia ingawa sipendekezi watoto waruhusiwe,,wanapozizoea mapema ndio kelele za leo za 'haniridhishi haniridhiki' Utaridhikaje ikiwa umezoea wengi.
^^
 
Mamboz wana jf!, bila mko poa.

Ni swala ambalo huwa najiuliza mara kwa mara je kuna ka ukweli ndani yake. (kuvuka stage namaanisha kutofanya mambo yale ambayo foolish age wengi wakiyafanya).

Dhana iko kwa me zaidi

Iko hivi, mara kwa mara tangu nasoma utasikia mtu akifanya jambo lisilo la kawaida kwa jamii husika utasikia ndo madhara ya kuvuka stage mwingine utasikia anasema ngoja niwe totoz(wapenzi) sahivi baadaye nikioa nitatulia, ukiona babu anahangaika na vitoto ati alivuka stage, professor/lecturer/mwalimu amempa denti mimba ati ndo wakati wa ujana ati alikuwa bize na kusoma tu. je wadau hapo kuna ka ukweli?, na kama kuna ka ukweli nini kifanyike, ndo kusema tuacha waendelee ili wasivuke stage?

Mtakubaliana nami kuwa kizazi cha sasa (doti.com) ndo naweza kusema kinaongoza kwa watoto/Vijana kuanza mambo mapema kuliko vijana wa miaka ya 80's ikiwemo mapenzi na kadhalika ndo tusema baadaye hatutashuhudia kupungua kama si kuisha kabisa matukio ya wababu/wabibi kutembea na wajukuu wao kwa kigezo cha kutovuka stage?

maoni yako mdau we wasemaje,

Karibuni!!!!

Kwa hiyo mzee wetu kapuyanga naye atakuwa aliruka stage ?
 
Shikamoo mwanzisha uzi!...kuna wengi sana hata humu wamo,ambao nadhani walijikuta wakiruka stage ya makuzi kwa kuwa walikuwa watoto wa Masheikh na wachungaji ambao ndio tunaowashuhudia na ID zao fake wakiomba ushauri kwenye maada za kipuuzi!

How come mtu mzima aanzishe uzi 'mke wangu anatafuta boyfriend naombeni mnishauri!' Hawa ndo wale wake zao wakiwadekea hawachelewi kukimbilia Asprin au Panodol kwa kudhani labda mke ana homa!

Mimi nilishajadiliana na mpendwa mama yenu hapa nyumbani kwamba mwanetu Bhooke akifikisha miaka nane tunakaa naye chini na kumweleza kabisa,kwamba mwanetueeeeh hii hapa ni inaitwa hivi na usimruhusu kaka Chikwane akaweka nanihii yake hapa kwa kuwa utapata 1,2,3...
 
Hiyo kuruka stage mimi naamini ni msemo uliochangiwa na kuporomoka kwa maadili,watu wazima wengine inakuwa ni tabia yao tu ukifuatilia trend yake toka akiwa mtoto utaona anatabia hiyo ila kwakuwa anakuja kuifanya ukubwani ndo watu wanashituka kama mzee wetu waziri wa awamu ya tatu,ukiushabikia sana huo msemo utajikuta ukiwahamasisha vijana wafanye maovu eti kwa kigezo cha kutoruka stage,lakini kumbuka kuna msemo kuwa jasiri haachi asili yake ukiwa malaya kipindi cha ujana usitegemee kutulia ukiwa mtu mzima maana chanzo cha mapato yako kitakuwa kimeegemea kwenye mbunye,hata ukioa au kuolewa bado utatoka nje kwa visingizio tofauti kama haniridhishi,hiyo yote inatokea baada ya kuonja mbunye nyingi au dushelele za kila aina na hapa ndo dhana ya kutofanya mapenzi mapema inakuwa ya muhimu na ingetekelezwa dhana ya kuniridhisha isingekuwepo kabisa!
 
tukifikisha miaka 50 tunaanza kwenda club.

Heheh...kwani klabu ni kwa ajili ya rika fulani tu shemeg?

Hujamuona Car-puya anavyobambia wachuchu kwenye madisko vumbi nini...au wale nyinyiemu wenzake


Kapuya4.jpg


wabunge.jpg


Anna+Lupembe.JPG
 
Back
Top Bottom