Madhara ya kutumia vidonge kujirembesha

Madhara ya kutumia vidonge kujirembesha

Wanamkosoa mungu...wacha wadhurike

Wewe farkhina wewe na Mzizimkavu wako!
Tuseme ni huu uzee unanipoteza au nini sasa!
Mbona mimi sijaiona hiyo picha inayoproof hicho mnachokiongelea?
 
Heri nishinde huku leo, kule mmmhh kila na mtu na lake, lete hadithi, mapicha na maloveee
 
Wewe farkhina wewe na Mzizimkavu wako!
Tuseme ni huu uzee unanipoteza au nini sasa!
Mbona mimi sijaiona hiyo picha inayoproof hicho mnachokiongelea?
Wakati mwengine sio mpaka uone picha wanazungumzia dawa za kujikondesha/kuongeza mwili jinsi zilivyo na madhara!
 
Wakati mwengine sio mpaka uone picha wanazungumzia dawa za kujikondesha/kuongeza mwili jinsi zilivyo na madhara!

Khaa!
Kumbe nimekremu ee?
Bath mwendhio nikija pande hidhi naweka nia hivi: "ngoja nikachek mapicha nimechoswa na MMU!"
Kumbe niko wrong!
Haya bhana!
 
Wanatumia hizo dawa kwavutia wanaume! Kwahiyo wanaume wasipowafagilia "wataacha tu"
 
Mungu akikuumba , hajakukosea hata kidogo ndivyo unavyotakiwa kua ukianza kiji edit ni lazima upate mateso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom