Josemyinga
Member
- May 10, 2023
- 12
- 20
⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi?
Sukari ni chanzo cha nishati mwilini lakini ikizidi huanza kuleta madhara badala ya faida
Sukari hupatikana kwenye juice za viwandani, Biskuti, keki,pipi, vyakula vilivyosindikwa,chai au kahawa yenye sukari nyingi
⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi ni yapi?
📌Huongeza hatari ya kupata kisukari (diabetes)— huongeza glucose kwenye damu , Huchosha homoni ya insulini, mwisho huongeza hatari ya kisukari aina ya pili
📌Huongeza uzito kupita kiasi—sukari nyingi hubadilika kuwa mafuta na kuongeza unene (obesity) ambao huja na matatizo mengine
📌Huathiri afya ya moyo—huongeza cholesterol mbaya (LDL) ambayo huongeza shinikizo la damu
📌Hudhoofisha kinga ya mwili— sukari nyingi hupunguza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa
📌Huharibu meno—husababisha meno kuoza na kuongeza bakteria mdomoni
⁉️Dalili za matumizi ya sukari kupita kiasi ni pamoja na kuchoka haraka , kiu ya mara kwa mara, kuongezeka uzito na kukosa nguvu mara kwa mara
✅Namna ya kupunguza matumizi ya sukari— kupunguza soda na juice za kopo, matunda badala ya pipi na keki, soma lebo za vyakula kama kutakuwa na hidden sugar, kunywa maji ya kutosha
Lakini pia unashauriwa kutumia zaidi Asali na tende kwa kiasi Kwa afya ya mwili
Sukari si mbaya-lakini ikizidi inakua hatari
Kula kwa kiasi ni afya
Afya bora huanza na maamuzi madogo ya kila siku
Linda afya ya akili yako kwa ustawi wako
Kwa ushauri na matibabu
Piga/whatsApp
0672784344
0610768180