YUSUPH NGONYANI
Member
- Apr 28, 2014
- 24
- 1
Siku nyingi zilizo pita nilikuwa nasikiaga tu kunamadhara makubwa ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile lakini wiki iliyopita ndo nimepata funzo la mwaka kwa macho yangu mawili kaka yangu mpendwa amefanyiwa oparesheni ya uume wake kwa sababu ya kuziba kwa mirija ya njia ya uzazi kama bado hayajakutokea acha yasije yakakukuta kama hayo