Madhara ya Kula Ugolo

Ukiona mtu anakula ugoro jua alikofika ni kubaya sanaaa ni mfwu anayetembea
Wazee wa zamani walikua wanatumia kama dawa tena kwa uzurii..

Wenyewe waliita kubeha ugoro..

NB. My youngest brother angu anatumia ni very interesting na ni degree holder anakunywa na pombe Kali.. anaweza kulala siku nzima akilala haamkii mpaka aamke mwenyewe.

Sijui inakuaje mpaka mtu anaingia kwenye maulevii na uteja wa kutumia ugoro by the way hata ukiongea nae very Smart ila sijui umshaur kitu gani aweze KUACHA ULEVII wa ugoro.
 
Hakuna ushauri hapo inabidi arudi ndani
Atumie huo muda anakula ugoro kurudi ndani yake

Meditation helps. Inabidi ajue why anafanya hicho kitendo. What is he afraid of?
 
Analala siku nzima haamki ?
Au nianze kutumia ugoro 🙄
 
Hakuna ushauri hapo inabidi arudi ndani
Atumie huo muda anakula ugoro kurudi ndani yake

Meditation helps. Inabidi ajue why anafanya hicho kitendo. What is he afraid of?
Mimi mfano Kila jioni lazima ninywe konyagiiii ndogo moja then nirudii kujumuika na familia

Currently nimeacha pombe Kali maana zilianza kunipa hali tofauti now Kila jioni napiga BIA MBILI then naenda nyumbani

Nilicho jifunza Mimi pombe kwangu hunipa nguvu na energy ya kupembua mambo hivyo mambo yanaenda vyema

NB. Waraibu ni wabishi mno unakumbuka chid benz alivyo kua Teja ujuaji na ubishi mwingi sanaa now Mungu kamsaidia kakaa sawa
 
Nicotine ina uraibu wa hali ya juu
 
Zamani ugoro ni wa wa bibi ila sasa hivi mnabugia vijana
Ugoro unaongeza nguvu za kiume mnooo... Hogo linasimama kama kisiki cha mpingooo.. Unapiga shoo za kibabe sn ni mwendo wa makojozii tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…