Sio wewe tuu. Mtu yeyote mwenye kipato kizuri na akajua kula, hawezi ifanya sembe kama chakula cha kila siku kwenye nyumba yake. Katika kua kua yetu nakumbuka mara moja moja sana Bimkubwa alikuwa anapika kande. Na penyewe alikuwa anakula mwenyewe. π
Angalia watoto wa shule ishu ya macho. Macho yanawatesa sana wanafunzi mikoa hiyo nimetaja. Kutokuona mbali ni kawaida kabisa kwa mtoto wa form II.