Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Ugonjwa wa Kifafa

Kifafa

Kifafa ni nini?

Kifafa ni ugonjwa wa ubongo.

Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva.Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati baadhi ya ama hizi seli zote kwa ghafla huanza kuwaka kwa pamoja, wimbi la nguvu za umeme hupita kwenye ubongo na husababisha kifafa ama kuzirai.

Kuzirai kwa ghafla huathiri vile ubongo hufanya kazi.Kunaweza kumsababisha mtu kupata mabadiliko ya ghafla katika fahamu, mwendo ama hisia.

Mshtuko wa moyo mmoja haumanishi ya kwamba mtoto ana kifafa.Kuzirai mara moja kunaweza kutokea kwa sababu tofauti k.m homa, jeraha la kichwa, kiwango cha chini cha sukari katika damu na kadhalika.

Kifafa ni jina la kuzirai kwa ghafla kunapotokea zaidi ya mara moja bila ya sababu ya kutibiwa inayojulikana.

Katika sehemu hii jifundishe zaidi kuhusu huu



Ni nini ninachopaswa kufanya ikiwa mtu atashikwa na mshtuko wa kifafa?

Wakati mwingi, huduma ya kwanza ina maana ya kumfanya mtu awe salama wakati mshtuko wa kifafa unapotokea. Kwa bahati nzuri, mshtuko huwa mfupi na huisha baada ya dakika kadhaa.

Hatua ya kwanza katika kujitayarisha kwa ajili ya kifafa ni kufahamu kitu cha kufanya wakati ugonjwa huu unapotokea. Hii ni muhimu ikiwa unamchunga mgonjwa wa kifafa lakini pia kwa kila mtu. Ugonjwa wa kifafa unaweza kuanza katika umri wowote na kila mtu anahitaji kufahamu nini cha kufanya wakati mtu karibu nao anaathiriwa na kifafa.

Huduma ya Kwanza



  • Kuwa mtulivu na usiogope. Kifafa humuogopesha mtazamaji. Huchukua dakika chache na kwa kawaida huhitaji matibabu.Kumbuka ya kwamba mtu aliyeshikwa na kifafa huwa hafamu vitendo vyake na anaweza au asiweze kukusikia.
  • Walinde dhidi ya majeraha wakati wanaposhikwa na kifafa.Ikiwa inahitajika mweke chini kwa njia iliyo taratibu.
  • Sogeza vitu vigumu, vitu vyenye ncha kali na vilivyo moto na linda kichwa na mwili wa mgonjwa dhidi ya jeraha.
  • Usiweke chochote mdomoni ama ujaribu kubanua meno.
  • Mtu hayuko katika hatari ya kumeza ulimi wake
  • Usijaribu kuzuia mwendo wao kwa kutumia nguvu.Hili linaweza kusababisha majeraha kwa mgonjwa na pia yule anayejaribu kuwasaidia.
  • Popote inapowezekana, jaribu kumlaza mtoto katika sehemu iliyo laini na wageuze upande mmoja.
  • Weka kitu tambarare na laini chini ya kichwa chake ili asijiumize.
  • Fungua nguo zilizombana haswa kwenye shingo kama tai, skafu na kadhalika
  • Usiweke chochote mdomoni.
  • Nakili mda ambao mshtuko umechukua.
  • Jaribu kutazama mwondoko ambao mtu hufanya wakati ameshikwa na kifafa.
  • Wakati mkutuo unaanza kupungua, hakikisha ya kwamba kupumua kumerudia hali yake ya kawaida.
  • Baada ya kifafa, mvingirishe mtu ili alalie upande mmoja.Hili hufanya mate kutoka mdomoni na kuhakikisha ya kwamba hanyongwi. Ikiwa kuna matapishi, mweke mtu kwa upande mmoja na safisha mdomo wake kwa kidole.
  • Usijaribu kumpatia dawa ama uoevu hadi aamke
  • Waondolee hofu, zungumza nao kwa upole na wasaidie kupata nafuu pole pole.
  • Usimwache mtu pekee yake hadi apate nafuu.



Ni nini ninachopaswa kufanya ikiwa nadhani nimeathiriwa na kifafa?

Ni muhimu kukumbuka ya kwamba kifafa ni hali ambayo inaweza kudhibitiwa. Sio kitu cha kuona haya. Sio laana ama ulemavu. Ni hali inayohitaji matibabu na kufuatiliwa kama hali zingine kama shinikizo la juu la damu, kisukari, pumu na kadhalika

Ikiwa unadhani ya kwamba umeathiriwa na ugonjwa wa kifafa ama ikiwa umewahi kuanguka chini na kuzimia ni muhimu kutafuta usaidizi wa dakitari aliye karibu. Ikiwa inawezekana andamana na mtu aliyekuwa nawe wakati ikifanyika ili waeleze kile walichokiona. Hili litasaidia dakitari kufanya ubainifu sahihi.

KWA MWENYE KUTAKA KUTIBIWA UGONJWA WA KIFAFA AWASILIANE NA MIMI KWA NJIA YA EMAIL ADDRESS YANGU HII HAPA fewgoodman@hotmail.com
 
anayechinjwa shingoni huwa akuwa hajafa?


Tofauti yetu waislamu na nyie WAGALATIA NI kuwa, NYIE Muhimu kwenu ni MNYAMA AFE ILI MPATE KUMTAFUNA! Na hamjali hata kidogo namna gani huyo MNYAMA KAFA!

iwe MTATUMIA NYUNDO, RISASI, RUNGU,MAKOFI au HATA KUPIGA KABALI kama mnavyo wafanya KUKU NA BATA!

NA HAO NGURUWE kwa sababu hawana shingo kama za wanyama wengine! MNAKATA SHINGO ZAO KWA NYUMA! Yaani kuanzia KISOGONI, Tena hapo baada ya KUMPIGA NYUNDO!

SISI LAZIMA TUCHINJE KWA MUJIBU WA SHERIA YA MUNGU ALIYOIWEKA! NA WALE WANYAMA AMBAO HATA YESU PIA ALIKULA!

Ndio maana KILICHOUWAWA auKUCHINJWA NA MKRISTO! Kwa MUISLAMU NI HARAM KULA!!
 
[/SIZE]
Tofauti yetu waislamu na nyie WAGALATIA NI kuwa, NYIE Muhimu kwenu ni MNYAMA AFE ILI MPATE KUMTAFUNA! Na hamjali hata kidogo namna gani huyo MNYAMA KAFA!

iwe MTATUMIA NYUNDO, RISASI, RUNGU,MAKOFI au HATA KUPIGA KABALI kama mnavyo wafanya KUKU NA BATA!

NA HAO NGURUWE kwa sababu hawana shingo kama za wanyama wengine! MNAKATA SHINGO ZAO KWA NYUMA! Yaani kuanzia KISOGONI, Tena hapo baada ya KUMPIGA NYUNDO!

SISI LAZIMA TUCHINJE KWA MUJIBU WA SHERIA YA MUNGU ALIYOIWEKA! NA WALE WANYAMA AMBAO HATA YESU PIA ALIKULA!

Ndio maana KILICHOUWAWA auKUCHINJWA NA MKRISTO! Kwa MUISLAMU NI HARAM KULA!!

Kwahiyo zile nyama poli kama nyati huwa anachinja mtume mwamedi na siyo shortgun? Kweli akili ni mali.
 
Kwahiyo zile nyama poli kama nyati huwa anachinja mtume mwamedi na siyo shortgun? Kweli akili ni mali.

Andiko pls!

jazba mpelekee mkeo!

Nyati tunapiga miguu kwanza! Au tunavunja kiuno na risasi! Halafu TUNACHINJA SHINGONI!

Sio nyie kazi yenu kupiga kabali kama majambazi!
We mkubwa mzima unaenda mpiga kabali kuku! Au bata!
Hivi nyie wagalatia Hamna haya!?
 
Andiko pls!

jazba mpelekee mkeo!

Nyati tunapiga miguu kwanza! Au tunavunja kiuno na risasi! Halafu TUNACHINJA SHINGONI!

Sio nyie kazi yenu kupiga kabali kama majambazi!
We mkubwa mzima unaenda mpiga kabali kuku! Au bata!
Hivi nyie wagalatia Hamna haya!?

Utachekwa bure bora ukae kimya tu, unamjuwa nyati wewe?

Ndio shida ya kufuata dini kwa mkumbo na hujui lolote kuhusu hunting unajichoresha tu.
 
Utachekwa bure bora ukae kimya tu, unamjuwa nyati wewe?

Ndio shida ya kufuata dini kwa mkumbo na hujui lolote kuhusu hunting unajichoresha tu.

We usigeuze uzi hapa!
Hunting uijue wewe muefeso??
Teh teh teh.

Nyie mnapiga kabali wanyama! Halafu mnakula!

Andiko linasema nini kuhusu uchinjaji??
Mkilacho ni NYAMAFU.
Thats all.
 
We usigeuze uzi hapa!
Hunting uijue wewe muefeso??
Teh teh teh.

Nyie mnapiga kabali wanyama! Halafu mnakula!

Andiko linasema nini kuhusu uchinjaji??
Mkilacho ni NYAMAFU.
Thats all.

Unajambajamba tu, nimekuuliza nyama pori unayokula unajuwa inauliwaje? Zile shortgun na rifle unadhani ni urembo?
 
bwana mwanjelwa unaonesha wewe@ni mlaji wa kitimoto
Rosemary Alvarez alijikuta
akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa
scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa
upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain
yake
. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo
kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia
parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata
uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena
inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa
chini

Source :
ABC
News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm



Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia
ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:



Je
wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.
 
Last edited by a moderator:
Nenda korea mkafanye utafiti. Kule mtu anajenga jengo kubwa kama ben tower ili afuge kitimoto. Gorofa ya kwanza hadi 20 zote zimejaa nguruwe.

2008 china ilipata mtikisiko wa kiuchumi kwa sababu ya ughali wa kitimoto.

Kama ni madhara, mbonambuzi zimetuacha vilema sana tu?
 
...and the pig, for though it divides the hoof, thus making a split hoof, it does not chew cud, it is unclean to you. 8 ‘You shall not eat of their flesh nor touch their carcasses; they are unclean to you.
Leviticus 11:7-8
Unclean...wash it dear Leviticus
 
Kula kila kitu ilimradi sio sumu au hakikudhuru.

Hamna kitu haramu, wanyama na mimea yote kula ilimradi sio sumu. Haramu havikuumbwa. Haiwezekani Mungu aumbe kitu haramu, atakishikaje kwanza kwenye uumbaji wake?

Nimetoka kumoka...
 
Back
Top Bottom