Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Discussion in 'JF Doctor' started by Hofstede, Nov 24, 2008.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa chini

  Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm


  Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:  Je wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mimi pia ni mtaalamu wa samaki. Samaki ndiyo wanyama wanaoongoza kuwa na minyoo zaidi kuliko yoyote. Hii inatokana na nature ya habitat yake anayoishi. Ni aquatic na medium nzuri ya Platyhelmiths, Nemotodes and ringworma kibao. Sidhani kama wewe Hofstede huli samaki. Samaki huwa hapimwi na Verts. Labda wa Ikulu!

  La msingi wewe ndugu ni kuwa mwangalifu. Just observe hygenic standards by eating well cooked foods and hygenically handled.

  Lakini pia usisahau kuwa Kuna worms wanakuwa transmitted by insects. Hawa worms wanahitaji well aerated water, kwa hiyo target hapa ni Morogoro, Mbeya na Lushoto kwenye milima inayotiririsha maji hivyo kuyafanya yawe na oxygen kibao. Hawa wanabababisha blindness. Upofu wenyewe hasa! fortunately strain tuliyonayo East Africa haisababishi upofu na hakuna anayejua sababu! Ile ya West Africa ni balaa! Kuna vijiji wote ni vipofu! Mdudu anaitwa Oncocercus volvus.

  Anyway, kuna minyoo kibao kibao na si ajabu about a third ya wana JF wako infected. Check with your physician.

  Take home message: Always peleka information in a three dimension orientation. siyo kwa matakwa yako.
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Umesoma hiyo article ya ABC ukaielewa sidhani kama unahitaji ufafanuzi zaidi, maana kila kitu kipo clear na aliyeiandika hiyo article naye anakula kitimoto.

  Malengo yangu hapa ni kuwapa tahadhari wanaotumiwa kitu hii kuwa makini na si kama ulivyofikiria wewe na hilo ndiyo lengo kamili la JF-Doctor thread.

  Kuhusu samaki sikatai huenda ikawa ni kweli lakini kuishi pori moja na simba haikupi sababu ya wewe kupendwa kuliwa na simba. Nguruwe ana-protein nyingi sana kuliko mnyama yeyote nadhani hiyo tutakuwa pamoja, Sababu hii ndiyo inayomfanya kuwa host wa parasite wengi zaidi kwani nyama yake ina-create conducive environment for breeding and feeding hivyo kufanya hata baada ya kupikwa au kukaangwa still kuwa possible host kwani kuna parasite hawafi kwenye degree 100 na pengine below.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  By Joyce Howard Price
  THE WASHINGTON TIMES
  February 8, 2007


  Researcher Amy Baskerville contributed to this report.

  Source: Washington Times - Parasitic infection plagues states along Mexico border
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  "Some things are worth dying for!"

  Damn you made me hungry!
   
 6. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sijui wewe bwana Hofstede protein nyingi kwako ina maana gani!? Hakuna kitu kama Nguruwe ana ..."protein nyingi" kwenye bioscience. Huwa kuna kitu kinaitwa quality proteins na hiyo quality inategemeana una refer ipi. Maharage yana proteins pia. Recently kuna habari kuwa cyanobacteria wana proteins nyingi sana. Ila ni makosa, scientifically, kusema wana proteins nyingi kama vile kusema..."nguruwe ana protein nyingi zaidi kuliko mnyama mwingine", . Haina maana. Nadhani kwa biochemisry uko nje na hivyo bora usibishe. Uliza tu. tutakupatia details. Uhitaji kusoma hiyo makala yako kuweza kujua hili. Then nimesoma hiyo makala yako. Ni sawa nia hivi nisemavyo.

  NI science. Si lazima kila kitu ujue. Haiwezekani. Wanajua wenye profession. Siasa kila mtu anajua. Take note of that.
   
 7. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  One more thing,, Hofstede, hakuna animal parasite anashindwa kufa kwenye 100 centgrade!. Biochemically huyo parasite ataitwa thermophile. Mnyama anayeliwa na binadamu hawezi ku-withstand temperature above 55 Celcius for a long time (two hours kama hakuna kiyoyozi au like). Likewise, huyo parasite atahitaji temp ya 100celcius ya kufanyia nini na wakati gani?! Ni adaptative radiation......

  Si kila article iliyoandikwa iko right ndugu. ABC ni news agent,,,,sawa na majira au Mwananchi ambapo waandishi huwa wanatumbukiza chochote. Huwa wako right sometimes,,,,, lakini wanaongezea mbwembwe nje ya science. Muhimu kama hujui kuuliza kwanza na si kubadika tu issue hapa. JF kuna wataalamu zaidi ya hizo articles. Lakini kila mmoja yuko right inategemeana na wakati na mazingira yayozunguka.............

  Point ni ile ile: kula kitu yoyote iliyopikwa vema na imewekwa sehemu safi. Si kiti moto tu.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mwanjelwa
  unataka scientific proof soma hapa

  The German medical scientist Hans-Heinrich Rec-keweg has identified a novel protein called "sutoxin" in pork meat that causes various allergies. This poison causes allergic illnesses such as eczema and asthmatic rash. If the sutoxin dose is low, it gives rise to bodily fatigue and pains in the joints. In this context, those who assert that pork meat is more economical should consider the work loss of the productive labor force, in which case it turns out to be the most expensive meat there is.

  This influence of pork has always been noted in various animal experiments. The property arises from the degeneration that occurs in the lymphatic system of the creature, as a result of continuous ingestion of food contaminated with bacteria. I shall return to this subject below.

  There is a large amount of mucopolysac charides in pork meat. Since these substances are rich in sulphur, they, too, lead to afflictions of the joints. Further, the growth hormone has a very high concentration in pigs, with the result that those who consume pork become subject to abnormal bodily defomations.

  Another serious illness that the flesh of swine transmits is the SHAPE virus. This virus lodges in the animal's lungs, and for this reason.

  read the rest of the story kwenye link hii hapo chini

  The Scientific Facts: THE PERILS OF PORK MEAT


  Bwana mwanjelwa wewe usilete politics hapa mimi nimekupa facts sasa kama wewe unaona ni kubandika ni juu yako ukweli ndiyo huo, hakuna mtu anayeweza kukubali kufumuliwa kichwa chake na kwenye brain akatolewa worm just to make up a story.Huwezi kufananisha media kama ABC na magazeti ya udaku ambayo wewe huwa unayasoma badilika. Hiyo diploma yako ya uvuvi isikufanye ku-crash bila kutoa scientifically presented facts with your politically minded thoughts. Wewe una scientific proof yoyote ya hao samaki wa kwenye mabwawa uliokuwa unajifunzia kama "specimen" zako huko chuo cha uvuvi kuwa nao wanaambukiza minyoo?.
   
 9. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  .................Wewe una scientific proof yoyote ya hao samaki wa kwenye mabwawa uliokuwa unajifunzia kama "specimen" zako huko chuo cha uvuvi kuwa nao wanaambukiza minyoo?.......

  Hofstede kwa mtizamo huu sikuwezi. I am educating wrong person at a wrong time!. All the best na thread yako
   
 10. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  Is that the reason Muhammad forbid it? Au imepata nguvu sababu ya minyoo? Hata mbuzi pia aweza kuwa ugonjwa mbaya tena hauna dawa: unaitwa GOUT! Mbona Mbuzi hakuwa forbiden na Muhammad?

  Sorry for my comments coz it looks religious, nimekujibu kwa sababu tu umeshaingiza mawazo ya kidini (Nguruwe haramu)!
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jamani nashukuru wataalam wote mliochagia mada hii critically.

  Nimepata fundisho lenye evidence maana nimekuwa nikisikia habari za minyoo wa nguruwe but sikuwa nimepata details. Pia kuna mtu aliniambia kuwa ukichukua a coke or pepsi ikimwagia nyama ya nguruwe utaona inatoa funza, sijui kama ni kweli maana sijajaribu. Nikipata wasaa nitajaribu kuona ukweli wake.

  Na wewe mlaji nakusihi ujaribu then uje hapa jammvini utuhabarishe yatokanayo. Huyu mbuzi Katolika/Mkuu wa Meza huwa namla japo si mara kwa mara. Samahani mimi sifungamani na imani za mnyama huyu, ninafahamu "kiingiacho si najisi bali kitokacho". Wote wanaokula tuwaheshimu na wale imani au afya zao zinawazuia wasile nyama tamu hii basi wa reserve comments zao ili kuleta harmony hapa.

  Thanks for your contributions, Bravo.
   
 12. M

  Malila JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nguruwe noma,bia noma,bangi noma,samaki nao minyoo,wengine wanasema soda nazo visukari,juice za makopo noma,mara mafua ya ndege, maji nayo viwanda vimechafua, nk sasa kipi salama ndugu zangu?

  Naungana na aliyesema,chakula kipikwe vizuri na afya ya mpishi na usafi kwa ujumla ni muhimu.
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wewe ulisema kuwa kabla sijaandika nikuulize wewe mtaalama wa "Biochemistry" kwamba nisi-rely on media kuleta argument zangu sasa inakuwaje mwalimu unashindwa kumfundisha mwanafunzi ambaye amekusanya kazi yake ukasema amekosa leta masahihisho basi. Iam not a wrong person Mwanjelwa I am not, may be you are. Bring your scientific proof ndiyo utaweza kunishawishi. vinginevyo ni "Hatari sana kula nyama ya nguruwe"
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kisamvu? kisamvu cha kopo? mbona sikijui hicho! kinauzwa supermarket au dukani kwa mangi? Tuagizie tukanunue nasi tuonje kikoje!
   
 15. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2008
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uwezekano wa kupata Taenia soleum kwa brain ni mdogo sana almost negligible labda ni 1 kwa watu billioni 5, kwa sababu kwenye brain kuna kitu inaitwa blood brain barrier ambayo kazi yake ni kuchuja damu yote inayoenda kwa brain. hata kama kuna kitu ndogo kama pin point ikiwa haitakikani kuingia kwa brain haita pita hapo. Nawaasa wote wanao tumia hiyo kitu moto watumie tu lakina wahakikishe anapikwa na kuiva vizuri ili kuepusha madhara mengine ya kiafya.
  Asante kuniruhusu kuchangia

   
 16. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hofstede,

  Kabla sijakuita mwongo wa kuchomwa na tanuru la makaa ya mawe naomba uonyeshe ni wapi iliposemwa kwamba ugonjwa huo unatokana na kula nyama ya mnyama huyo, kutoka katika hii taarifa uliyotuwekea kama chanzo cha habari na ushauri wako:

  Halafu, ukimaliza hilo, naomba u cite references au uonyeshe umejuaje kwamba huyo mnyama:

  1 ) ana protein nyingi kuliko wanyama kama samaki, kuku, ng'ombe, na turkey,
  2 ) na kwamba hiyo protein nyingi ndio sababu ya parasites kupenda kuishi katika mnyama huyo.
   
 17. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


  Hana mpya huyo. Kakurupuka tu na hiyo info kutoka ABC bila ku-digest. Tunamsaidia kumpiga shule analeta ubishi. Nikagundua kuwa nasomesha degree kwa mtoto wa miaka minne! Nimem-shit na elimu yake finyu ya minyoo. Isitoshe akienda lab huyo, anaweza kutwa na hiyo minyooo....
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Nov 26, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  ...and the pig, for though it divides the hoof, thus making a split hoof, it does not chew cud, it is unclean to you. 8 ‘You shall not eat of their flesh nor touch their carcasses; they are unclean to you.
  Leviticus 11:7-8
   
 19. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Xp, endelea mbele kidogo kitabu na sura hiyo hiyo utakuta Sungura na Ngamia katika kundi hilohilo!
   
 20. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  ...hii ilikuwa wakati ule ikiandikwa. Siyo sasa ambapo population ni kubwa sana na resources scarce. Kwa mfano kuna mtu aliwaambia wenzake waoe wake wanne wakiwa na uwezo. These things do not apply now. Jamaa kibao wa namna hiyo wana uwezo tunawafahamu.Ukiwauliza vipi, mbona waangaika pembeni, wanajibu wala sitaki kufa miye! Yule mmoja tu labda aniue yeye.
   
Loading...