Madhara ya Kufutwa kwa CHADEMA!

Hizi siyo propaganda za JK. Chadema na Padre Slaa agenda yao kubwa ni kuleta Ukatoliki serikalini. Waislamu wanajua huu mpango. Nyerere aliwaumiza na kuwatesa sana Waislamu kwa Ukatoliki wake. Safari hii, Waislamu hawatokubali kumuona Padre Slaa anakuwa Rais. No Way.

kikwete amewasaidia nini na uislamu wake? kuwaruhusu kwenda pakistani kujaza viroba vya 'unga' na kuja kuuwa vijana wetu sivyo?

si alipewa orodha ya wauza unga? alipoona 99.99% ni waislamu alifanya nini zaidi ya kunyamaza?

usilete udini wa kijinga maana wengine tunaweza kukunanga vilevile.
 
Siku ukisikia Tanzania kuna vita ni siku ambayo watakifuta CHADEMA. Hapo ndio utajua kwamba kuna watanzania wenye hasira.

NI mangai CCM wanafanya lakini wao huwa wakifanya ni sawa? Wengine wakifanya ni makosa?

Kama kuna chama cha siasa ambacho kinastahili kufutwa Tanzania basi si CHADEMA bali ni CCM ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo mengi ndani ya nchi yetu mwaka nenda mwaka rudi.

Chadema si Chama cha kushika dola. Wako kibiashara zaidi, na kikanda zaidi. Kunamsemo toka siku nyingi nchi haiwezi kuongozwa na kabila lenye influency ya kipesa au lugha ni hatari. Hamu yao kubwa ni kushika dola si kuwakomboa wananchi. Kuwatumia wananchi ni mtego wa kutaka wapewe nchi. In fact they will never get it. And we pray. Wana pepo la damu.
 
CCM (KATOLIKI&ISLAMU).....CHADEMA(KATOLIKI&UCHAGA).....CUF(ISLAMU)......Need more...? aah !
 
CCM (KATOLIKI&ISLAMU).....CHADEMA(KATOLIKI&UCHAGA).....CUF(ISLAMU)......Need more...? aah !

hopeless.

why wachaga?

mbona husemi wapare? mbona husemi wasukuma? hausemi wakurya wa musoma? mbona hausemi watu wa mbeya? mbona hausemi watu wa mwanza?

chadema kinakubalika na hakitavunjwa nguvu na mawazo yenu potoshi.
 
Naona wakuu bado kuchangia mada hii, stay blessed anyway!

CCM wakifanya hilo kukifuta CHADEMA kama watafanya hivyo kwa ujinga wao huu ndio utakua mwisho wao (CCM) Na mwisho huo utakua mbaya kwani utagharimu damu na maisha ya watu CCM mambo yako shingoni hawajali chochote wanakufa,wanataka kutuchezea mchezo TUFE WOTE TUKOSE WOTE MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Chadema ni chama ni chama cha Wakatoliki, na Padre Slaa ndiye Padre Mkuu wa chama hicho. Mbinu za Padre Slaa ni kuleta Ukatoliki wake zaidi ndani ya Serikali. Chadema bora kifutwe kabla Counter-Attack kutoka haijaanza kazi yake.

Angalia Somalia, Pakistan, au Iraq. Kama Chadema kitaendelea kuwepo basi ujue kabisa nchi itaingia ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa sababu, Waislamu hakubali Padre Slaa awe Rais.

Tambala la deki linaheshima kwasababu 'linajijua' kuwa lenye ni dekio na litabaki kuwa hivyo. Nao watumiaji wanajua litabaki kuwa hadi siku litakapochakaa na kuitwa takataka.
Ni zaidi ya ujinga unapogeuzwa tambala la deki nawe ukilijua hilo.
 
Nazungumzia Majority. Hata CCM, majority ni Wakatoliki. Lakini, Chadema kina agenda kabisa ya UDINI na UKABILA. Kwenye kampeni mwaka jana, Padre Slaa alikuwa anasema Waislamu "wanapendelewa" Huu ni ushahidi tosha kwamba agenda ya Padre Slaa ni kuona Waislamu wananyimwa haki zao zote kama akiwa Rais.

Mods naomba muongozo mtu akiongopa humu JF hatua gani za kinidhamu zinapaswa zimuangukie?Kweli kuna mkutano wowote ambapo Dr Slaa alisema maneno haya aliyotuandikia John humu"Kwenye kampeni mwaka jana, Padre Slaa alikuwa anasema Waislamu wanapendelewa"

Thibitisha madai yako kinyume cha hivyo John unaweza ukaonekana ni mtu hovyo hovyo humu,sambamba na kuomba muongozo toka mods kwa maneno haya ya ajabu!
 
Chadema ni chama ni chama cha Wakatoliki, na Padre Slaa ndiye Padre Mkuu wa chama hicho. Mbinu za Padre Slaa ni kuleta Ukatoliki wake zaidi ndani ya Serikali. Chadema bora kifutwe kabla Counter-Attack kutoka haijaanza kazi yake.

Angalia Somalia, Pakistan, au Iraq. Kama Chadema kitaendelea kuwepo basi ujue kabisa nchi itaingia ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa sababu, Waislamu hakubali Padre Slaa awe Rais.

Nafurahi umeuonyesha uozo wako wa kifikra waziwazi. Kumbe CCM nayo ni ya Kishia au Kisuni? Na JK unamaanisha ndiye Ayatollah wake? Kwa nini ulazimike kuandika upupu kama huna hoja? Sikujua wewe ni mdini kihivyo na sikufahamu kwamba nawe ni mpotoshaji wa watu usiye na maana iliyotarajiwa. Hoja hapa ni madhara yanayoweza kutokea kwa kuifuta CHADEMA, sasa nashindwa kukutofautisha wewe na Tendwa na Makamba ambao wanaongea lugha hiyo hiyo ya kwako kwa kumshambulia mtu badala ya sera za chama fulani.

Nakushauri urudi darasani ukajifunze namna bora ya kuleta hoja isiyowachanganya watu, maana naamini pengine hukumaanisha uliyoandika. Hatuwezi kusonga mbele kama tunaendekeza mbofumbofu. Kama unataka malumbano ya udini si uende kwenye jukwaa la dini?
 
Chadema si Chama cha kushika dola. Wako kibiashara zaidi, na kikanda zaidi. Kunamsemo toka siku nyingi nchi haiwezi kuongozwa na kabila lenye influency ya kipesa au lugha ni hatari. Hamu yao kubwa ni kushika dola si kuwakomboa wananchi. Kuwatumia wananchi ni mtego wa kutaka wapewe nchi. In fact they will never get it. And we pray. Wana pepo la damu.

kwa hiyo unamaanisha kuna makabila ambayo yameteuliwa kuongoza wengine, acha uvivu wa kufikiri. Kwani CCM wana muono wa kuwakomboa wananchi? In fact pepo la damu unalo wewe mwenyewe, kwa kuendekeza dhambi ya ubaguzi.
 
Chadema ni chama ni chama cha Wakatoliki, na Padre Slaa ndiye Padre Mkuu wa chama hicho. Mbinu za Padre Slaa ni kuleta Ukatoliki wake zaidi ndani ya Serikali. Chadema bora kifutwe kabla Counter-Attack kutoka haijaanza kazi yake.

Angalia Somalia, Pakistan, au Iraq. Kama Chadema kitaendelea kuwepo basi ujue kabisa nchi itaingia ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa sababu, Waislamu hakubali Padre Slaa awe Rais.

Askofu Getrude Rwakatare ndani ya CCM vp, anamiliki Kanisa pale Mbezi.Stratergy ya Udini imeoooooooooooooooooooooooooooooza!!!! Kikwete ni Mpenzi wa Katoliki kishenzi hata wanae wanasoma shule za Katoliki pale Lushoto wanalelewa na sista na mapadre.baadae basi!!!
 
ni kweli kuwa JK ni mdini kuindukia na ndio maana uteuzi wote lazima anagalie kama hakuna muislamu wa kuchukua nafasi hiyo. wakristu wanaoteuliwa wengi ni rafiki zake. Hivi katibu mkuu wa CDM Zito K ni mkatolik kumbei!
 
Chadema ni chama ni chama cha Wakatoliki, na Padre Slaa ndiye Padre Mkuu wa chama hicho. Mbinu za Padre Slaa ni kuleta Ukatoliki wake zaidi ndani ya Serikali. Chadema bora kifutwe kabla Counter-Attack kutoka haijaanza kazi yake.

Angalia Somalia, Pakistan, au Iraq. Kama Chadema kitaendelea kuwepo basi ujue kabisa nchi itaingia ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa sababu, Waislamu hakubali Padre Slaa awe Rais.
Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza....!

  1. Mara Vyama vya Msimu.....(sasa inawatokea puani)
  2. Mara Slaa kachukua mke wa mtu....(hadi mahakamani na imeshindikana)
  3. Mara CDM ni chama cha kikatoliki....(mbona ilisajiliwa?)
  4. Mara CDM ni chama cha wachaga.....(mbona mnamuogopa Slaa na sio Mchaga?, bali ni Mbulu...)
  5. Mara CDM wanachochea vurugu na uvunjifu wa amani nchini.....(kivipi? kwa kupinga malipo ya Dowa-inzi? au kwa kufichua mafisadi?, kuchakachua maamuzi ya wananchi; matokeo ya chaguzi, ndio kulinda amani na utulivu?)
  6. Mara tulidhani fujo itatokea.....(sasa lazima hizo damu za mauwaji ya Arusha itawafuata hadi muendako)
  7. Na sasa CDM kifutiwe usajili....! kisa? wametoa kauli za uchocheshi.....(kwani rais aliruhusiwa kuwaita watumishi mbayuwayu? na hizo ni kauli zipi? kueleza msimamo wao juu ya mfumuko wa bei ya vitu nchini? Wajaribu kuifutia usajili huo waone)
 
Nimekuwa nikitafakari sana jinsi kejeli toka katika Serikali ya JK na chama chake cha CCM wakati wa uchaguzi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na vyama vingine vya upinzani ni "vyama vya msimu-uchaguzi!" Pamoja na kejeli hizo CHADEMA kilitoa upinzani mkali sana kwa CCM na kuna uwezekano mkubwa wa uchakachuaji wa kura za urais na hatimaye kimekuwa ni Chama Kikuu cha Upinzani!

CCM kwa kujua umahiri wa Wabunge wa CHADEMA hasa wawapo Bungeni (2005 - 2010) walijiandaa sana na hata kubadili Kanuni za Kudumu za Bunge, 2007 ili kukidhoofisha Bungeni ambako umaarufu wake ulianzia.

Kubaini hivyo CHADEMA kilifuata utaratibu wa "kuishtaki CCM/Serikali kwa wananchi" kama walivyofanya wakati wa kusoma "List of Shame" wakati walipobaini kuwa ufisadi wote ulioibuliwa (Meremeta, Tangold, Mwananchi Gold, EPA, Richmond, Deep Green Finance, etc) haukufuatiliwa kwa undani unaostahili na Serikali.

CCM/Serikali wameshabaini kwamba CHADEMA si "chama cha msimu" kama walivyokuwa wamefikiria, lakini badala ya kujibu mapigo wamekimbilia msaada wa dola ili angalau kiendelee kulinda ka-umaarufu kaliobakia ili kasimalizwe kabisa na CHADEMA.

Bila shaka hoja iliyoko mezani kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Mh John Tendwa, ni kukifuta CHADEMA au la kwa madai eti kwamba wametoa kauli ambazo zinahatarisha amani na utulivu wa nchi, na wameenda mbali kwa kudai kwamba kauli hizo zinaashiria uhaini!

Maswali ya kujiuliza ni kwamba: Hivi kwa nini wananchi wanaitikia maandamano yanayoitishwa na CHADEMA kwa wingi kiasi hicho? Ina maana wananchi hawawezi kufikiria kwamba CHADEMA ni chama cha namna gani mpaka CCM iwaambie? Hivi kauli za kukataa malipo haramu ya DOWANS na kupinga kupanda kwa bidhaa za vitu kwa mfumuko wa ajabu kunahatarisha amani na utulivu? Mbona wananchi wenyewe wameandamana kwa amnani na hakuna aliyesababisha vurugu yoyote? Hivi CCM inaogopa nini hasa mpaka Mwenyekiti wake Mh JK aliongea kwa unyonge wa ajabu wakati wa Hotuba yake ya mwisho wa mwezi Februari, 2011. Kumbuka kwamba JK kwenye Hotuba yake alidai eti kwamba "hivi karibuni wananchi wameingiwa na hofu!" Hivi ni wananchi wa mkoa upi walioingiwa na hofu? Na kama wangeingiwa na hofu kwa nini wajitokeze kwenye maandamano? Hivi ni wananchi walioingiwa na hofu au ni CCM ndiyo iliyoingiwa na hofu kwa kuogopa kivuli cha CHADEMA?

Sasa nije kwenye title ya thread hii. Je, Msajili wa Vyama vya Siasa, Mh John Tendwa, akiamua kucheza shilingi chooni akakifuta CHADEMA kutoka kwenye daftari lake, nini kitatokea?
1. Demokrasia ya nchi itakuwa imebakwa sana kwa kuwa nchi itaongozwa na Chama kimoja kikiwa katika matawi mbalimbali: CCM-A (CCM), CCM-B (CUF), CCM-C (TLP), CCM-D (UDP), CCM-E (NCCR-MAGEUZI), etc.
2. Nchi itaingia tena kwenye chaguzi nyingine ndogo za wabunge na madiwani ambazo zitasababisha gharama kubwa zisizo za lazima. Kwa sasa nasikia nchi haina fedha za kutosha kwa sababu wafadhili waligoma kugharamia uchaguzi mkuu, 2010, kwa hiyo tulitumia fedha zetu wenyewe! Sasa kwa nini tuingie kwenye gharama za namna hiyo? Si afadhali tuilipe DOWANS kama hatuna uchungu na fedha kiasi hicho?
3. Mafisadi watapumua kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu hakutakuwa na wa kuwabughudhi kwenye ufisadi wao watakaokuwa wanaufanya!
4. Kuna uwezekano wa kutokea vurugu, maana wananchi wenye kuipenda nchi yetu hawatapendezwa na hatua ya kukifuta CHADEMA! Mungu apishe mbali kwenye hili!
5. EX-CHADEMA members wataenda Mahakamani kupinga kufutwa kwa CHADEMA na kwa kuwa haki huwa haiwezi kuzuiwa, huwa inacheleweshwa tu, watashinda kesi na watakuwa na nguvu ya ajabu kuliko ilivyokuwa mwanzo.
6............
7...........
Mh John Tendwa tafadhali usilewe madaraka, Maisha ni zaidi ya huo usajili wa vyama, zawadi ambayo umeikabidhiwa kwa muda na JK! Itakie mema nchi yetu ambayo demokrasia yake ndio kwanza imeanza kuchipua! Serikali inapokosolewa hailali usingizi, inafanya juu chini itekeleze ahadi zake kwa wananchi! Badala ya kutekeleza ahadi zenu mmekuwa busy kuangalia CHADEMA inafanya nini na kupoteza muda na resources za nchi kwa kuwafuatilia, shame on you! Historia itawahukumu kwa hili!

Tujadili!

Tunafikiri kama kweli Tendwa na Kikwete wanataka amani katika familia na nyumba zao basi tunaomba wafanye wanacho tarajia ili tuwaonyeshe wananchi really tunataka nini. Tunajua wanataka kuwafukia Chadema wakiwa wamesimama na kinawashinda sasa, tunaomwomba Kikwete aongoze kusema kitu kama hicho tumwonyeshe kazi yake.
 
Chadema ni chama ni chama cha Wakatoliki, na Padre Slaa ndiye Padre Mkuu wa chama hicho. Mbinu za Padre Slaa ni kuleta Ukatoliki wake zaidi ndani ya Serikali. Chadema bora kifutwe kabla Counter-Attack kutoka haijaanza kazi yake.

Angalia Somalia, Pakistan, au Iraq. Kama Chadema kitaendelea kuwepo basi ujue kabisa nchi itaingia ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa sababu, Waislamu hakubali Padre Slaa awe Rais.

Acha porojo za kijinga wewe. Nyie ndio mnaotumwa na chama cha majambazi kuupotosha umma baada ya kuona hao watawala wenu dhaifu wamebanwa vilivyo. Ukatoliki wa Chadema unatoka wapi? Kwani CCM ni chama cha waislamu kwa sababu Waislamu Jakaya Kikwete na Yusuf Makamba ni viongozi? Hizi propaganda za kijinga ndio zitakazowafanya watu wa nchi hii waendelee 'kukanyagwa' na mafisadi milele. Mafisadi wanaolelewa na serikali dhalimu ya chama cha majambazi ndio wamekuwa wakitoa porojo za udini kwa wale wote wanaotishia usalama wao ili wajinga kama wewe muamini na kuwaachia wakiendelea kuinajisi nchi yetu. Amka sasa!
 
Hizi siyo propaganda za JK. Chadema na Padre Slaa agenda yao kubwa ni kuleta Ukatoliki serikalini. Waislamu wanajua huu mpango. Nyerere aliwaumiza na kuwatesa sana Waislamu kwa Ukatoliki wake. Safari hii, Waislamu hawatokubali kumuona Padre Slaa anakuwa Rais. No Way.
Kwa hiyo wako tayari kumuona Mbowe akiwa rais kwa kuwa hakuwahi kuwa padre?
Kwa hiyo wako tayari kumuona Halima au Zitto akiwa rais kwa kuwa ni mwislam?
 
Nazungumzia Majority. Hata CCM, majority ni Wakatoliki. Lakini, Chadema kina agenda kabisa ya UDINI na UKABILA. Kwenye kampeni mwaka jana, Padre Slaa alikuwa anasema Waislamu "wanapendelewa" Huu ni ushahidi tosha kwamba agenda ya Padre Slaa ni kuona Waislamu wananyimwa haki zao zote kama akiwa Rais.

Mi ningekuwabahatika kuwa mwislamu nikabahatika tena kuwa laghai mwenye kupenda utajiri na umaarufu, mwenye kujipendekeza kiunafiki halafu nikazaliwa hizo nchi za Kiislamu ningeutumia vizuri sana uislamu kuwahadaa hao watu nikawatawala kiulaini kabisa.
Hawa wenzetu huwa hawajiulizi mara mbili katika maswala yanayohusu udini iwe tu imelenga kupamba mwislamu au uislamu na hsa mambo yanayowapambanisha na watu wa imani tofauti hata kama huko ni kumhadaa tu aunge mkono udhalimu wa aliyekuwa Mwislamu dhidi ya asiyekuwa Muislamu.
Watakuja wanaimba kama hotuba za Gadafi lakini no substance.
Huwa nawaonea huruma lakini huwezi kuwasaidia make wanajua hata kama hawajui.
Mkianza tu hata maswala ya msingi wao akili zao zinagonga tu kwenye udini. Wanapewa hotuba za siasa misikitini wanasikiliza hakuna hata wa kumwambia mwenzake hapa tunadanganywa. Ni watu wepesi kweli kuhamasishwa na watawala walioshindwa kutekeleza majukumu yao kuwa kimbilio lao kujificha.
Ukija in life most of them wanablem watu wangine hasa wakristo kwa failures zao. Yani ndo wimbo wao tumeonewa tumeonewa. Wilayani wanaonewa, mkoani wanaonewa, kitaifa wanaonewa, kimataifa ndo usiseme wanapigana na kila mtu, awe mrusi, mmarekani, mchina, mjapani. Hapo pia hawakosi sababu watakuja tu na pumba zao kujitetea bila kuangalia reality.
Yaani huyo aliyewafanya muwe hivo namsifia sana na atakuwa na akili kuliko za mwanadamu ila kawapotosha kuliko wote aliowahi kuwapotosha kama kawaida yake.
Uzuri dunia inabadilika na vijana wa karne zijazo hawatazikiliza upuuzi huo katika nchi za kiislamu na tumeanza kuona mapinduzi yaliyoanzia Tunisia. Nyie ambao bado mnaimbiwa wimbo wa tunaonewa huku wajanja wanakula mtajikuta mko peke yenu. Zitachukua karne nyingi lakini nakuhakikishia huo ndo dunia ijayo inayoongozwa na facts na sio hadithi za mtu wa jangwani asiyejua kusoma wala kuandika.
 
Serikali ya CCM ni lazima sasa ianze ku-address matatizo lukuki yanayolikabili taifa hili badala ya kuwagawa wananchi katika misingi ya dini. Tunafahamu kuwa uchochezi huu wa kidini ulioasisiwa na kufadhiliwa na JK una lengo la kutafuta sympathy kutoka kwa Waislamu. Lakini Waislamu sio wajinga. Wamekwishatambua hila za watawala hawa mafedhuli. Harakati za ukombozi wa nchi hii kamwe hazitarudi nyuma, na salama pekee kwa majambazi hawa wa CCM ni kurekebisha huduma za jamii na kuacha kuwakumbatia mafisadi. Kwa kuanzia tunaomba CDM i-organize maandamano makubwa ya amani katika Jiji la Dar es Salaam ya kuitaka serikali iwakamate mafisadi wote waliojichotea mahela yetu kupitia MWANANCHI GOLD, TANGOLD, DEEP GREEN, MEREMETA, KAGODA, nk. Kwenye maandamano hayo tutataka fedha hizo zirudishwe hazina ili zisaidie kuimarisha huduma za jamii kwa maelfu kwa maelfu ya wananchi wanaoendelea kuteseka kwa umaskini wa kutupwa katika nchi yao tajiri. MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Back
Top Bottom