Madhara ya kondomu

Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.

Asante kwa "tahadhali";

Utafiti pia umegundua kwamba tetesi na fikra nyingi potofu zimechangia sana kueneza kasi ya maambukizi ya ukimwi na mimba zisizokuwa na mpangilio;

aidha pia utafiti huohuo umegndua kwamba kuna watu wana-hallucinate [na kuota ndoto]; na baada ya hapo huwa wanakurupuka na kupost vitu wanavyoviona au kuviota kama tafiti!!
 
Last edited:
Wengi wametaka ushahidi, nao ni huu, uume kawaida uwa unatanuka na kuwa mkubwa, hii inafanyika kwa msaada wa elastic nerve (misuli), unapokuwa umevaa kondomu hizi nerve huwa zinasukuma plastic ya kondomu ili uume utanuke, na hapo hapo mpila nao unasukuma hizo nerve ili uume usinyae, hatimaye misuli inachoka na kuacha kutanua mboo, matokeo yake kila unapotaka kuingiliana na mwanamke ni lazima unywe dawa,

Kwa hakina mama, kwenye kondomu kuna vilainishi (Gelly), hivi vilainishi ni chakula cha fangas aina ya chramidy, wakati wa kuvaa kondomu unatakiwa hiyo gelly iwe kwa nje ili isaidie uume kungia kwenye uke, hapo ndipo wadudu hao wapoingia kwa mwanamke

wanawake wengi huwa wanajipangusa kwa leso, gelly hii inanata sana haitoki, hata Ukiosha kwa sabuni inajibanda kwenye kuta za uke na kuwasaidia wadudu kuzaliana. Hapo ugonjwa unaingia .Hapo panatosha,

I am praying for JF doctors to come and rescue, kwani Gels nyingi zitumikazo ni water soluble kwa hiyo huondoka na maji iwapo mwanamke anafanya usafi unaostahili [otherwise basi hata sperms zitabaki]; kuhusu mishipa kubana, ntaomba wataalam zaidi waseme ingawa kisayanzi ni lazima mishipa ibane ili erection iwe effective. pia ukumbuke kama huhitaji huo mbanano ni sawa na kupiga hewa [au kutwanga maji kwenye kinu]

PIa kwa kukusaidia, ni mishipa ya damu ndio inayofanya uume kusimama na kazi ya nerve ni transimmion tu ya info na sidhani kama huwa inasinyaa kama ulivyosema

More serearch needed
 
Check this,

CONDOM IS IMMORAL:
• Married people can not use condoms, because they can not misuse the power
to give life they received from God.
• Married people can not use condoms outside marriage, because God said"
"You can not commit adultery."
• Single people can not used condoms, because God said also to them: "Yu can
not commit adultery."
Edited by DIOCESAN FAMILY CENTRE
P.O. Box 205 - Vanimo 551 – Sandaun Province – T. 8571224
December 2001

Thanks Mzee, sijui una umri gani, lakini mara nyingi tukishapita stage fulani ya maisha we turn a blind eye and deaf ears kwa wale tunaowaachia rika!!! Its easier said than done!!

If i use a condom to protect one from my disease, i am sure bado nitakuwa mdhambi lakini nafsi yangu itapata faraja kwamba simuachii kovu la milele kwenye afya yake!!

Ni sidhani kama kuna uchunguzi mwingine umezungumzia ni asilimia ngapi ya binadamu ni wazinzi, isije ikawa ni majority maana yake tusipange vitu kuridhisha minority.

Ya Musa yapo na Kaizari yapo, ila tuache ku-preach improssible, i would rather keep quiet than condemning something that may save my daughter from a painful death!!!

Kuna simpo issues kama heshima, sala, upendo, tamaa vinatushinda... but the same people tunaweza kuwa wa kwanza kulaani condom kwasababu its easier kutokana na tulivyo kwa sasa

Last edited:
Naona kama ya wengi wanaoponda matumizi ya condom walikuwa watumiaji wazuri hapo kabla. Watuambie nini madhara ya kondom nafikiri wanaweza kuwa mfano mzuri.
Mimi binafsi ni mtumiaji wa kondom na bado sijashawishika kuacha ila nikihakikishiwa madhara yake hata leo hii na aacha
 
Binafsi nakubaliana na hilo la fungus kwa sisi wanawake. Mwenyewe ilisha nitokea nilipatwa na fungus sababu ya kutumia condoms na nilishauriwa hospitalini kiache kabisa kuzitumia na tangu kipindi hicho sijatumia tena condom na sijapatwa na fungus tena.
"Naomba msiniulize ninatumia nini badala ya condoms!!... ila nina jali sana afya yangu"

kuhusu kupungua kwa nguvu upande wa wanaume sinauhakika nalo
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!!! I wish for JF doctors to come and recue us here!!! mandari ya fungus kukua si condom pekee, uchafu, vagina pH due to various physiclogical factors, kuingiza sabuni huko na kuosha sana kiasi cha kubadili uhalisia, mix ya vitu toka nyuma kuingia mbele kwa namna yoyote ile n.k. Sijui tukipambanisha fungus na ukimwi itakuwa vipi
 
Jamani tuwe waangalifu wakati tunapoandika kama alivyofanya Kaitaba. Sio wasomaji wote wana uwezo wa kufanya uchambuzi na kufanya uamuzi kwenye hili. Bila ushahidi katika hili, kama mwanasayansi napinga kwa nguvu zote UVUMI huu. Condom bado ni kinga imara sana dhidi ya magonjwa ya zinaa ukiwepo virusi vya ukimwi
Willy
 
Ukizoea kutumia sana condom yaani siku umeoa wife utataka uendelee kutumia sijui wife atajisikiaje?
teh teh tihiii.........
ni sawa na kusema ukizoea kula vyakula vya shuleni boarding za serikali siku ukipewa chakula cha nyumani utashindwa kukila!!!
ukweli ni kwamba condom ni kero kuanzia kuinunua na kuitunza halafu kuivaa ndo balaa kabisa...ukioa cha kwanza ni kuisahau na kuitupilia mbali hasa kama mmeshapima .....though ni kweli utahitaji jitihada kuepuka pre-mature ejaculation.
 
At one time kuna watu nshawai kuiskia kulalamika kuwashwa nyetini baada ya tendo though depending na aina ya Kondom.
kWA ILO LA NGUVU ZA KIUME NDO NASIKIA LEO.
lete source otherwise to us JF itakuwa ni kama GOSSIP
 
Ni kweli, kuwashwa kunatokana na ile Latex material inayotengenezea condom au ile lubricant [monoxyl-9] ambayo ni organic compound... vyote huweza kuleta alergy kwa baadhi ya watu

Pia kuna baadhi ya condom zenye "flavor" with allergic reactions kwa wake na waume
 
"Naomba msiniulize ninatumia nini badala ya condoms!!... ila nina jali sana afya yangu"
Tafadhali mimi naomba kujua unatumia nini baada ya kuacha kutumia condoms ili na mimi au mtu mwingine yeyote ambaye atafikia uamuzi wa kuachana na matumizi ya condoms aweze kutumia njia hiyo nafikiri utakuwa umesaidia na kuokoa watu wengi sana BornTown kuliko kuwa msiri kwa kiwango hiki ambacho wewe unataka kuwa
Please i beg you
 
Ndugu zangu
Ni vyema kuwa waangalifu kwenye mambo yanayohusu mwili wa binadamu. Sikubadiliani na uongo wa ndugu yetu kuhusu condom. Ukifuatilia utafiti wa kisayansi kuhusu faida na hasara za condom, wengi tunakubaliana kuwa faida ni zaidi ya maradufu. Hivyo in abscence of evidence tuache utani kwenye hili

Naam stakeholder
Aache utani eti eeh
Jamaa anataka kupandisha presha
 
Tuseme wataalam wetu hawajui?umefanya research?au umepata kwenye chanzo chochote kama vp kianike jamvini.
Naam stakeholder
1. Jamaa anataka nini hasa kwa post yake?
2. Tuache kujamiiana?
3. Tuache kutumia kondoms?
4. Tufe kwa UKIMWI?
5. Tuache ukapera tuoe?
6. Au anataka nini hasa?
 
Asante kwa "tahadhali";

Utafiti pia umegundua kwamba tetesi na fikra nyingi potofu zimechangia sana kueneza kasi ya maambukizi ya ukimwi na mimba zisizokuwa na mpangilio;

aidha pia utafiti huohuo umegndua kwamba kuna watu wana-hallucinate [na kuota ndoto]; na baada ya hapo huwa wanakurupuka na kupost vitu wanavyoviona au kuviota kama tafiti!!
I concur with you!!
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!!! I wish for JF doctors to come and recue us here!!! mandari ya fungus kukua si condom pekee, uchafu, vagina pH due to various physiclogical factors, kuingiza sabuni huko na kuosha sana kiasi cha kubadili uhalisia, mix ya vitu toka nyuma kuingia mbele kwa namna yoyote ile n.k. Sijui tukipambanisha fungus na ukimwi itakuwa vipi

Hivi miwatu mingine inafikiri kwa kutumia nini? Hebu tumbambanishe UKIMWI na FUngus basi tuone.

Mtu mzima anasema ameshawahi kushauriwa na daktari asitumie Condom!! huyo ni daktari au mganga wa kienyeji kutokea Msata Bagamoyo?!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom