Madhara ya kondomu

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
49
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa akina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.
 
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.
du kazi kweli kweli!
 
Source of information? Mbadala? Tafiti hii kama ni ya kweli inaweka wapi mapambano dhidi ya magonjwa ya zinaa? Weka source hadharani tafadhali tujichukulie knowledge.
 
mh balaa kubwa hilo ila mzee tupe evidence hiyo study ilifanyika wapi na lini? tunataka emperical evidence mkuu
 
Habari ndio hiyo,dawa ni kuwa waaminifu katika ndoa,na ambao bado na waendelee kusubiri mpaka wakati utakapofika..
 
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.

Yaani umejiunga JF kueneza upumbavu? Lete huo utafiti hapa watu wakuumbue.
 
Spread the gossip, share knowledge. Lete source ya information. Nguvu za kiume is a serious stuff mkuu.
 
kabla ya kila mmjoja kuweza kuwa muaminifu dawa itakuwa nini? wazee wa kazi hebu tuwe wakweli kidogo. nani ataniambia kuwa muaminifu ni kitu kiachowezekana kwa asilimia 25 tu ya wakazi (Miaka 14-35) wa Kinondoni B au7 Mazanse?
 
Ukizoea kutumia sana condom yaani siku umeoa wife utataka uendelee kutumia sijui wife atajisikiaje?
 
condom haina maana ikitumika ni uzinzi, lengo lake la awali lilikuwa ni kupanga uzazi
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!
 
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!

Lengo la awali kabisa ndio ilikuwa kupanga uzazi, na kwasasa ndio imekuwa haya mambo ya kuzuia magonjwa.

Ngono ipo tu hata bila condom wala msijishaue
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom