Madhara ya kingamuzi katika mapenzi

Madhara ya kingamuzi katika mapenzi

KALYANKOZILE

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Neno kingamuzi limetumika kumaanisha matumizi ya vileo ambavyo hupelekea mtu kumtafuta mpenzi yoyote na kumpata na kutumia style zozote kutokana na msukumo unaotokana na kingamuzi alichotumia.Mfano anaweza kukutana na white au black au maji ya kunde,mwembamba,mrefu,mfupi n.k na hii inategemea na alikotembelea kununua kingamuzi cha siku hiyo na kwa upande wa style hata tigo anaweza tumia au kutumiwa.Pia matumizi ya life jaket kwake huwa ni usumbufu,kubaka au kubakwa huona ni haki yake,hupenda kuonga au kuongwa na wengine huwa ni free.Hii ni kutokana na kingamuzi (kilevi) kuwa kichocheo (catalyst) cha kutaka kufanya tendo la ndoa.Wito wangu tuchague wapenzi tuwapendao tukiwa na akili timamu(bila kutumia kingamuzi) na tuwaheshimu na tusisahau kauli mbiu "TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA"
 
Si unajua King'amuzi ndiyo kinakuchagulia jambo la kufanya?
 
Swali la msingi wewe kama wewe umeacha King'amuzi au bado?

na kama bado Chukua hatua haraka maana kitakumaliza
 
sawa Mrembo. sasa kwenye ile post yako uliyosema wanakugombania kwa ajili ya uzuri na umbo lako huwa wametumia king'amuzi?
 
Back
Top Bottom