Madhara ya DNA katika mahusiano...

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,808
39,013
Kubambikiwa watoto katika familia ni jambo la kawaida,inawezekana hii tabia ilianza tangu enzi za mababu zetu. Kwa kizazi cha sasa, tusitumie teknolojia (DNA) kufahamu kama mzazi mwenzio amechakachua au laa; kufanya hivyo ni kuhatarisha uhusiano uliopo na kusababisha maafa.

Je, huo ujasiri unao?

cht.jpg
 
Siku hizi hata ikibainika wewe na mtoto mna vinasaba tofauti bado utaambiwa matokeo yanaonyesha mtoto ni wako kwa 99.9999999%

Jambo la msingi maadamu umelea mimba na baada ya kuzaliwa mtoto umeendelea kumtafuna mama yake basi piga kimya songa mbele.
 
ha ha ha, baada ya mtoto kufanikiwa,unaitwa baba mlezi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom