Madhara ya contraceptive pills

neha mimi

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
345
170
Habari zenu wapendwa, huku kwetu ni giza totorooo cjui na kwenu ni hivo hivo anyway back to topic...

Kuna hivo vidonge huwa naviona na watu wanavitumia vinaitwa 'morning after' am not sure kama ni jina lake halali ila ndo vilivyozoeleka au kwa jina lingine la p2, sina uhakika sana na hivo vidonge na wala sijui kama ni njia sahihi iliyopendekezwa kwa ajili ya uzazi wa mpango au kuzuia mimba.

nahisi vitakuwa na madhara ila sijajua kitaalam madhara yake yatakuwa ni nin na yanaonekana baada ya mda gani coz kuna watu ambao ninawafahamu wamefanya vidonge hivo ndo kama njia permanent ya wao kuzuia mimba,kwenye maelezo yake wameandika vidonge vile visitumike mara kwa mara kama njia ya kuzuia mimba itumike kwa emergency lakini mtu anapotumia kama njia yake permanent kunakuwa na madhara gani, hapo nawaza labda system ya njia ya uzazi itaharibika au kutokupata kabisa mtoto hapo baadae au inakuwaje .

Najua humu kuna madokta manesi, wataalamu wa mambo ya uzazi na watu tuu wenye uzoefu naomba mnijuze madhara ya hiyo kitu .

Ni hayo usiku mwema
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Hili swali nlimuliza doctor moja kwenye online chat n jibu alilonipa ni kua they dont have any dangerous side effects apart from headaches au kua na cycle ya ovyo ambayo haifati siku maalum...
I am a male though! usiulize nlikua natafuta nini kuhusu elimu ya morning after pill, am always curious about everything, sex education happens to be one of them... Na kama unapendapenda kusoma research findings mbalimbali em pitia hapa uone some research ambayo ilishafanywa kutest effects of using Plan B au Morning after kwa muda mrefu..

http://www.rhtp.org/contraception/emergency/documents/RepeatUseofEC.pdf

Though ningependa kusikia from any doctor humu ndani....
 
thank you
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom