Madhara ya chumvi mbichi..

Madhara ya chumvi mbichi..

...labda anataka kukunyima wali wa nazi na mchuzi wa kuku 🙂🙂 na pembeni kuna ndizi mbivu lol!!!

Chumvi, ndio inatumiwa karibu na kila mtu ni vyema kuifaham! Afu sio hiyo mbichi tu hata ile ingine ya maeneo..

Mtu hali kiti moto, deki anapiga.; hapigi laga kama mimk lakini salt anaramba, wkt acid ya kule ni zaid ya lager.

Anyway senkyuu sana, situmii tena tebo salt
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ni chumvi hii chumvi tunayoijua ni chumvi au ni chumvi ile ambayo inatumika katika lugha za kileo!? maana lugha hii inazidi kupata maneno mapya kila kukicha. Wakati mwingine inabidi uulize unamaanisha nini!?


Hehehhe kwenye picha naona alituma sana salam ndo kapata iyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahah wale alosema BAK ndio hawa lol..watu wa kiswahili

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

mwenaangu nilifikiria hivyo niliposoma comebts nikapata picha halisi hee niliogopa inamaana uhondo ntaukosa
 
Last edited by a moderator:
mimi49 nipe appointment.nije for consultation ngozi inawasha...🙄🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom