Madhara ya chumvi mbichi..

Madhara ya chumvi mbichi..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
1395886_542968959110911_983823346_n.png
 
Hii ni chumvi hii chumvi tunayoijua ni chumvi au ni chumvi ile ambayo inatumika katika lugha za kileo!? maana lugha hii inazidi kupata maneno mapya kila kukicha. Wakati mwingine inabidi uulize unamaanisha nini!?
 
kaka midomo ya kike kabisa hii so chumvi isiyokuwa chumvi haiwezi kuwa applicable hapa!
 
Amenijibu apo juu ila hata sijafahamu metoa macho tu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Acha Mkuu... hujamsoma dada mmoja ambaye alikuja hapa na kusema shughuli kama hizo zimemfanya apate maambukizi ya ukimwi na akadai anataka kutengeneza film yake ili itumike kuwaonya akina dada wengine wasijihusishe na mahusiano kama aliyokuwa nayo yeye!? Dunia hii ya leo mmhhhhh!

kaka midomo ya kike kabisa hii so chumvi isiyokuwa chumvi haiwezi kuwa applicable hapa!
 
Amenijibu apo juu ila hata sijafahamu metoa macho tu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kakuelekeza sehemu inapochimbwa...unajua kuna njia tofauti za kutengeneza chumvi..mojawapo ni mabwawa ya maji ya bahari linasubiriwa jua kali yanakauka inakusanywa chumvi...njia nyingine ni kupikwa nadhani...marehem babaangu alikuwa na shamba la chumvi....:smile-big:
 
Mungu amlaze mahali pema peponi amina..
 
Mie nilishawahi kwenda kutembea kule Saadani (Bwagamoyo) na kuona jinsi chumvi inavyotengenezwa na maelezo yako hayana tofauti kabisa na maelezo niliyopewa kule. Ila chumvi ile ilikuwa haina iodine hivyo ilibidi ikaongezewe iodine ambayo ni muhimu kwa matumizi ya binadamu. Kule Saadani chumvi ile ilisafirishwa ikiwa bado ni chumvi ya mawe na baadaye kupelekwa kiwandani kule husagwa na process ya kuongeza Iodine hufanyika kiwandani.

Kakuelekeza sehemu inapochimbwa...unajua kuna njia tofauti za kutengeneza chumvi..mojawapo ni mabwawa ya maji ya bahari linasubiriwa jua kali yanakauka inakusanywa chumvi...njia nyingine ni kupikwa nadhani...marehem babaangu alikuwa na shamba la chumvi....:smile-big:
 
huyu amekaa kama ana SEBORRHEIC DERMATITTIS! Ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fungus Malassezia unaotupata kutokana na kuongezeka kwa talg production kwenye ngozi...

Mimi49 shkamoo
 
Back
Top Bottom