Madhara ya Bangi...

Madhara ya Bangi...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
4.jpg
...........
 
Aiseee babaangu kitakuwa kimeshanganya na petrol
 
hapo mwenyewe anaona yajaa muda sio mrefu kama sio bangi basi amelogwa,boflo mzee wa kustua vinena yua back ageni.
 
Inaelekea wote mnaosema mara cha Tarime mara cha Arusha mnatumia?
 
Hii itakuwa ya kongo, nasikia kuna sehemu inaitwa Moba wanatengeneza kitu nzuri sana. ukipiga lazima ujioe uko dunia nyingine.
 
hichi kitu aliyesokota hakutoa mbegu!
angalia nguvu kazi ya taifa inavyoteketea.
 
mnaisingizia Canabis nyie, ile makitu mwake sana, huyo ana matatizo yake tu ya akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom