iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,149
- 9,968
Principles za bangi ni usitumie ukiwa disparated, uko na msongo wa mawazo/stress au eti umeumizwa na mapenzi unataka utumie ganja unajidanganya itakuondolea stress yaani unajikaanga mwenyewe na mafuta ya bangi..Kuna dogo kitaa alikua anaongea peke yake kama chizi aisee kisa bangi,alikua anafanya biashara zake vizur sijui nini kilisababisha akajihusisha na bangi ila mzee wake alimchukua yuko fresh now
Kuamua kuvuta bangi kunahitaji busara sana na sio kukurupuka kwa mihemko, mtu anatakiwa aichukulie kama starehe tu au kitu cha kawaida kama kuamua kutafuna big G kwa sabu tunajua kutafuna big G hakukufanyi ushibe!
NB: Bangi haiondoi stress wala sio solution ya matatizo, ukitumia bangi na stress unakua kichaa..