Madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Ndugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara

Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa kuna siku nilijaribu kuvuta bangi.

Alinipa nikavuta kabisa. Sasa nina wiki moja 1 nasubiri madhara ya bangi.

Labda nitakuwa mgomvi au tapeli au mtu yeyote mbaya mbele za watu naona kimya kabisa, tabia zangu ni zile zile tu hakuna kilichobadilika

Sasa nauliza ndugu zangu hivi madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?
 
Kuwa mwizi,mkali,kuvaa mitepesho Wala hailetwi Na bangi....sema Ni ushamba wa wabongo walivyoona mablack American kwenye TV walivyo gangster kama snoop Dogg basi wakaamini ukivuta bangi unatakiwa ubehave kama kichaa (kama cocaine) lakini bangi haina madhara ..

Inayoharibu/iliyoharibu Tabia Za Jamii kama ya wamarekani weusi Ni cocaine sio bangi
 
Ndugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara

Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa kuna siku nilijaribu kuvuta bangi.

Alinipa nikavuta kabisa. Sasa nina wiki moja 1 nasubiri madhara ya bangi.

Labda nitakuwa mgomvi au tapeli au mtu yeyote mbaya mbele za watu naona kimya kabisa, tabia zangu ni zile zile tu hakuna kilichobadilika

Sasa nauliza ndugu zangu hivi madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?
Utajuaje kama ushaanza kuwa na madhara? Huenda unafanya mambo ya ajabu sema watu hawakwambii.
Anyway bangi haina madhara tena ni tiba nzuri tu.
 
Kama ukoo wenu una mwiko wa bangi ukivuta yatakayokukuta utafurahi
 
Bangi ina madhara lakini ni kwa watumiaji wasio jielewa
Kama pombe ilivyo na madhara kwa wanywaji wa hovyo hata bangi haitakiwi kutumika hovyo
Unavuta bangi kila siku kama kula ugali?
Lazima kuna matokeo ya bangi yataonekana yani madhara
Unaweza ukatumia kwa wiki mara moja na ukaenjoy sana
kwa namna hii unaweza kutumia hata miaka yote ya maisha na mtu hawezi kujua kama unatumia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara

Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa kuna siku nilijaribu kuvuta bangi.

Alinipa nikavuta kabisa. Sasa nina wiki moja 1 nasubiri madhara ya bangi.

Labda nitakuwa mgomvi au tapeli au mtu yeyote mbaya mbele za watu naona kimya kabisa, tabia zangu ni zile zile tu hakuna kilichobadilika

Sasa nauliza ndugu zangu hivi madhara ya bangi yanatokea baada ya siku ngapi?
Bange haina tatizo,ila tatizo uanzia kwa kichwa yako
 
Bangi ina madhara lakini ni kwa watumiaji wasio jielewa
Kama pombe ilivyo na madhara kwa wanywaji wa hovyo hata bangi haitakiwi kutumika hovyo
Unavuta bangi kila siku kama kula ugali?
Lazima kuna matokeo ya bangi yataonekana yani madhara
Unaweza ukatumia kwa wiki mara moja na ukaenjoy sana
kwa namna hii unaweza kutumia hata miaka yote ya maisha na mtu hawezi kujua kama unatumia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu salute kwako

Me bange naweza kuvuta kila siku ila uwa naidharau sijui kwanini alafu kingine sijui kunyonga watoto wa mjini wanasemaga inatakiwa unyonge mwenyewe alafu kuitafuta naona Kama inanipotezea muda alafu kingine inachakachukuliwa kwahiyo pia hilo linanikatisha tamaa
 
Bangi haina madhara, ni uongo uliotengenezwa na jamii kuwatisha watu...bangi ina manufaa mengi kuliko hasara.
Marijuana Health Benefits - Cannabis Business Summit
Marijuana-Infographic.5adc65738fef70cf7c128af192447aa3.gif
 
Africa itapata mpaka 7 trillion dollars yes kama nilivyoandika sijakosea kama serikali ok
Hiyo ni kwa mwaka wanapouza nje

Sasa sisi tulale na kusema bange tamu au mbaya na mataifa mengine wanachangamkia fursa

Ardhi ya rutuba tunayo kubwa sana ambayo haijakaliwa na watu

Kama demand ni kubwa kwanini hatulimi na kuuza ?
IMG_3777.jpg
 
Kuna dogo kitaa alikua anaongea peke yake kama chizi aisee kisa bangi,alikua anafanya biashara zake vizur sijui nini kilisababisha akajihusisha na bangi ila mzee wake alimchukua yuko fresh now
 
Cannabis Sativa, Dagi Sativa, Dope, Dry, Mjani, Msokoto..

Aisee sawa bana huku kitaani ina majina mengi sana nafikiri watumiaji watazidi kuibatiza na majini mengine mengi..
 
Back
Top Bottom