Madhara utakayopata endapo hutofanya mapenzi muda mrefu

Madhara utakayopata endapo hutofanya mapenzi muda mrefu

545960_466366126807040_527455475_a.jpg
1017542_555880611116304_1163986905_n.jpg
485243_495671090470590_809076305_n.jpg
Mkuu Tyta we ni shida kwa kweli hupendi mineno mineno we ni picha tu....
Daah nimejikuta nacheka tu...
 
Last edited by a moderator:
Team single tusikatishwe tamaa, hayo yanaweza wapata hata walio na wapenzi.
Am proud to be single.
hapo bolded,naomba nikutafute tafadhali, wakwale msinivurugie sasa nimeshaanza mm
 
kudindisha dindisha hovyo barabarani kila uonapo bi dada amefungasha ......waweza hata gongwa na gari.....kujikwaaa ....na kuwaza KUVUKA BODAAAA

hahaha hao ndio wanaochafuaga watu kwenye hiace..
 
maisha ni jinsi unavyoyataka yawe hizi zingine ni hisia tu na imani
 
kudindisha dindisha hovyo barabarani kila uonapo bi dada amefungasha ......waweza hata gongwa na gari.....kujikwaaa ....na kuwaza KUVUKA BODAAAA

Umetisha mkuu
 
Kumbe ndiyo maaanaaaa!

Mmesema Massage Parlour nzuri hapa kinondoni ipo maeneo gani nipitiepo sasa hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom