Madereva wengine bwana!.....kama wewe ni Traffic hapa ungesemaje?

Madereva wengine bwana!.....kama wewe ni Traffic hapa ungesemaje?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,120
View attachment 113891
Kuna madereva na madereva nji hii.
Jamaa kasevu visenti vyake kanunua Fuso kampa dereva.
Jamaa kaamua kuuingia mti kwa staili yake.
Trafiki kaamua kusepa maana hajui aanzie wapi...... tena yuuule nyuma kabisa ndo anaumwaga!!!!
 
ajali nyingine unaweza kuwaza husipate jibu kabisa
 
...madereva wanaopata ajali za ajabu wapewe zawadi itasaidia kutangaza nchi na utalii...
 
Kuna madereva na madereva nji hii.
Jamaa kasevu visenti vyake kanunua Fuso kampa dereva.
Jamaa kaamua kuuingia mti kwa staili yake.
Trafiki kaamua kusepa maana hajui aanzie wapi...... tena yuuule nyuma kabisa ndo anaumwaga!!!!

Hiyo ni Hino sio Fuso.

Ukiongeza chumvi ujuwe na vipimo.
 
There are so many reasons behind on this truck why iko vile, sio dereva, n truck responding
 
Hiyo ni Hino sio Fuso.

Ukiongeza chumvi ujuwe na vipimo.
Najua fika kuwa hiyo ni Hino tens ya tani 4, lakini kitaani kitaani mwambie mtu hiyo ni Hino au Nissan Condor au Isuzu 4 ton mtabishana mpaka liwike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom