Madereva wa zamani Abood Bus Service

Madereva wa zamani Abood Bus Service

Hood za Tunduma-Dar miaka ile nimepanda sana SAA 10 kqmili jioni uko Mbeya toka Dar ilikuwepo Hekima na Sabco full ushindani ving'amuzi na tochi zilikuwa chache sana na mizani haikuwa mingi kama sikuhizi. Mkifika Moro nusu saa gari inachekiwa ndo mnaondoka
Ndo hivyo mkuu HOOD zama zake zimeshaisha chanzo kikiwa ni kutoelewana wanandugu..hii SABCO ilikua kampuni ya mtoto wa HOOD aliyeitwa SAIDY alitaka kuweka ushindani na baba yake
 
Back
Top Bottom