Sasa hivi imepita muda halijazimika njiani mnatafuta chokochoko nyingine. Ukitaka super smooth ride panda EMU hutasikia mikito. Ila hio yenye kichwa na mabehewa mikito ya hapa na pale kwenye breaking na kuondoka ni kawaida ingawa mikito sometimes inategemea na dereva.
Hata ndege ikitua kuna marubani wana smooth landing na wengine wanabamiza ndege ardhini na wote wana leseni za urubani.