Madereva wa 'Sarafu' wanalipwa kiasi gani?

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
250
Reaction score
227
Habari za muda huu Ladies & Gents nakuja Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu....

Nilikuwa nauliza hawa madereva wa hizi gari za Azam zinazojulikana kama SARAFU mishahara yao inaweza fika Kiasi gani? Na je, kwenye gari anaruhusiwa kuwa na mtu mwingine apart na dereva mwenyewe?

AHSANTENI.
 
Anaandaliwa mtu zongo na matofali ya kutosha hapa ajiandae kisaikolojia
Akisikia puuuu Basiiii
🤣🤣🤣😁😁
 
Habari za muda huu Ladies & Gents nakuja Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu....

Nilikuwa nauliza hawa madereva wa hizi gari za Azam zinazojulikana kama SARAFU mishahara yao inaweza fika Kiasi gani? Na je, kwenye gari anaruhusiwa kuwa na mtu mwingine apart na dereva mwenyewe?

AHSANTENI.
Hivi hawa jamaa ajira zao hasa hicho kitengo cha madereva huwa wanatangaza public au ni ndani kwa ndani tu...?
 
yah connection maana pale kuna bro wangu anaendesha kwaiyo anataka kunifanyia mipango
 
Mkuu heb acha usumbufu, kumbe una kaka yako ni dereva kwa nn sas usuulize yey…?
 
Back
Top Bottom