Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,050
- 4,602
Umetusahau Madereva wa mwendokasi!
Boda boda hao, halafu vile bunduk inakaa karbu na tank
Dawa hii hapaKwahiyo tufanyaje sasa,?
Hawa sina taarifa zao kwan lile ni gari
😜😜😜Dah nmecheka sana 😅😅
But why wewe
Gari sio mashine?Pia Kifaru sio gari, kifaru ni mashine
sio madereva wa vifaru vya jeshi tu...kwa kifupi jeshini kumeoza...{usiniulize zaidi}Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Madereva wa aina tofauti tofauti wamekuwa kwenye kundi la kuwa na tabia za kupendangono uzembe tuanze hivi;
1. Bodaboda, hawa bila shaka wanaongoza kwa tuhuma za kuwapa wanafunzi mimba na wake za watu pia bila kusahau mabinti wa mitaani
2. Malori makubwa, waendesha malori huwa inasadikika kuwa hawabagui na katika safari zao huwa kila kituo ana mwanamke, mimi binafsi baba zangu wadogo wawili wamekufa baada ya kuingia grid ya taifa (UKIMWI)
3. Bajaji, hawa nao ni janga mjini wamekuwa wamekuwa wakihisiwa kujihusisha na vitendo vya ngono kwa wanafunz, wake za watu na mitaani huko
4. Tax, uber na wenzao hawa ni wakongwe na taarifa zao bila shaka tunazo
5. Mabas na daladala angalau kdgo hao japo nao wamo
6. Magar ya serikali na mashirika nao hawapo nyuma
7. Magar binafsi nao wanatutesa kweli tusio kua na magar bila shaka mnajua
Makund haya yapo kwenye hatar kubwa na wengine tayar wapo kwenye grid ya taifa hatua za makusud zinahitajika.
Nawasilisha
Ni nini sasa??
Na wao wamoo wanatafakari nini cha kujiteteaaWenyewe wanasoma kimya kimya hapa hata like hawatoi. Tusubiri waje na tamko lao rasmi kulaani uzalilishaji huu.
Hata wewe ukipewa kazi ukiwa peke yako utashawishika kuwa na kimada. Hiyo ni naturally, hakuna mtu anayependa kuwa mpweke. Ndo maana madereva wa mabasi hawana muda sana wa kufanya umalaya, maana mda wote una watu wamekuzunguka.
Lakini mko wawili safarini me na ke, lazima mtatombana mwisho wa siku
Men behind the wheel...Madereva wa aina tofauti tofauti wamekuwa kwenye kundi la kuwa na tabia za kupendangono uzembe tuanze hivi;
1. Bodaboda, hawa bila shaka wanaongoza kwa tuhuma za kuwapa wanafunzi mimba na wake za watu pia bila kusahau mabinti wa mitaani
2. Malori makubwa, waendesha malori huwa inasadikika kuwa hawabagui na katika safari zao huwa kila kituo ana mwanamke, mimi binafsi baba zangu wadogo wawili wamekufa baada ya kuingia grid ya taifa (UKIMWI)
3. Bajaji, hawa nao ni janga mjini wamekuwa wamekuwa wakihisiwa kujihusisha na vitendo vya ngono kwa wanafunz, wake za watu na mitaani huko
4. Tax, uber na wenzao hawa ni wakongwe na taarifa zao bila shaka tunazo
5. Mabas na daladala angalau kdgo hao japo nao wamo
6. Magar ya serikali na mashirika nao hawapo nyuma
7. Magar binafsi nao wanatutesa kweli tusio kua na magar bila shaka mnajua
Makund haya yapo kwenye hatar kubwa na wengine tayar wapo kwenye grid ya taifa hatua za makusud zinahitajika.
Nawasilisha
Kuna ile too much, kwan boda boda wana upweke gan? Bajaj na taksi je?
Hivi hujawahi kumbeba mwanamke mwenye mapaja makubwa akakuweka katikati huku, kwenye mashimo ukifunga brake kifua chake kinakubonyeza mgongoni? Ndo majaribu hayo kaka, sio kwamba tunapenda.