Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Usiwe unavaaHahahaaMi kale ka mpira kanavonibana huwa nakuwa kama dude halipumui vzur, af mara nihis kama imepasukaa
Semaaa 🙄🙄
Madereva wa aina tofauti tofauti wamekuwa kwenye kundi la kuwa na tabia za kupendangono uzembe tuanze hivi;
1. Bodaboda, hawa bila shaka wanaongoza kwa tuhuma za kuwapa wanafunzi mimba na wake za watu pia bila kusahau mabinti wa mitaani
2. Malori makubwa, waendesha malori huwa inasadikika kuwa hawabagui na katika safari zao huwa kila kituo ana mwanamke, mimi binafsi baba zangu wadogo wawili wamekufa baada ya kuingia grid ya taifa (UKIMWI)
3. Bajaji, hawa nao ni janga mjini wamekuwa wamekuwa wakihisiwa kujihusisha na vitendo vya ngono kwa wanafunz, wake za watu na mitaani huko
4. Tax, uber na wenzao hawa ni wakongwe na taarifa zao bila shaka tunazo
5. Mabas na daladala angalau kdgo hao japo nao wamo
6. Magar ya serikali na mashirika nao hawapo nyuma
7. Magar binafsi nao wanatutesa kweli tusio kua na magar bila shaka mnajua
Makund haya yapo kwenye hatar kubwa na wengine tayar wapo kwenye grid ya taifa hatua za makusud zinahitajika.
Nawasilisha
Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Vipi na madereva wa airbus 220!
Amewasahau na waendesha Mikokoteni
Na hapa nimesahau madereva wa magari haya yanayotengeneza barabara ya kubeba vifusi na mengineyo na ya migodini, barabara ikipita vijijini huko wana jisevia karbu kijiji chotee
Sio kila kiendeshwacho anayekiendesha ni dereva ...Bali muendeshajiNa waendesha Guta
Kwahiyo tufanyaje sasa,?Sio kila kiendeshwacho anayekiendesha ni dereva ...Bali muendeshaji
Kuna driver ..rider..operater
2. Malori makubwa, waendesha malori huwa inasadikika kuwa hawabagui na katika safari zao huwa kila kituo ana mwanamke, mimi binafsi baba zangu wadogo wawili wamekufa baada ya kuingia grid ya taifa (UKIMWI)
[\QUOTE] TUTAKE RADHI SI TUNA TEMBEA NA CONDOM NYINGI KULIKO SPANA
Sio kila kiendeshwacho anayekiendesha ni dereva ...Bali muendeshaji
Kuna driver ..rider..operater
Wanapata pesa, pesa inasababisha maovu mengi sana kama ikitua mikononi mwa zumbukuku.
Ukiwa na pesa hawa wanawake unaagiza tu kama unavyoagiza bidhaa, nani wa kukuzuia.
Sio kila kiendeshwacho anayekiendesha ni dereva ...Bali muendeshaji
Kuna driver ..rider..operater
Makonda nao sio habaaUmesahau makonda wao
Boda boda hao, halafu vile bunduk inakaa karbu na tank24Hrs Bunduki Inarushwarushwa Na Muungurumo Wa Chombo Cha Moto Hamna Atakae Baki Salama Hapo Ni Mimba Tu
Sisi hatuna shida na mtuVipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Dah nmecheka sana 😅😅Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Wengi wao ni vichaa na washazibuka masikio, hivyo hawawazi ngono wao ni pombe kwenda mbele.Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Pia Kifaru sio gari, kifaru ni mashineVipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??