Madereva Kupitia Utumishi Naomba Msaada Wenu Hapa Wakuu

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Heshima kwenu wakuu.

Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa letu. Nahitaji msaada wenu wakuu kupitia Ajira Portal kwenye huu mfumo wao wa sasa.

Nashindwa kuelewa nakosea wapi kwenye hii website kila niki-apply naambiwa niangalie academic qualifications kwamba hazi-match na vigezo walivyovitoa kwenye tangazo husika la kazi, kuna interview moja nilishawahi kuitwa ilifanyika Duce ilikuwa ya Tanesco bahati mbaya niliishia written sikufika oral.

Sasa baada ya hapo wakaweka utaratibu wa NIN nimejaza ID number ila tatizo lipo kwenye Academic Qualifications, nikasema nije kuomba msaada kwenu wakuu mnisaidie hili suala ili nijue nakosea wapi wakuu.

Kwa yeyote ambaye ameshafanikiwa kupata kazi kwa mfumo wa huu wa sasa wa Utumishi au hata aliyefanikiwa kuingia written tu anisaidie kujua wapi nakosea ili niweze kurekebisha angalau nami niwe naweza ku-apply inapotokea position wakuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.

AHSANTENI.
 
Kaka mkubwa kwani kuna tangazo lolote la ajira kwa madereva wametoa utumishi?
 
kaka mkubwa kwani kuna tangazo lolote la ajira kwa madereva wametoa utumishi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana kiongozi hakuna tangazo walilotoa ila nimeona niombe msaada ili kuepuka last minute rash ndio nije kuomba msaada mkuu.

Ni bora kuweka mambo sawa kiasi kwamba hata ikitokea nafasi ni kiasi cha ku-apply tu sio tena ndio nianze kuomba msaada wa kuanza kurekebisha makosa at the end of the time unakuta deadline imefika bado sijaweka sawa kiongozi.

Vipi wewe details zako zipo sawa mkuu...?
 
Weka leseni, na vyeti vyako vya nafunzo na namba ya nida... usiweke digrii yako kwenye maombi ya udereva.. maana itaonekana msumbufu

Hivyo vitu naviweka sehemu gani kiongozi coz namba ya NIDA nilishajaza tatizo sehemu ya Academic Qualifications ndio wanasema Qualifications zangu hazi-match mkuu...!
 
Jiulize kwa nini hazimatch...je una leseni yenye madaraja wanayotaka. Je una vyeti vya NIT

Ndio kiongozi nna leseni yenye madaraja 8 na cheti cha NIT advanced drivers grade II (VIP Driving) na nilishawahi kuitwa interview ya Tanesco.

Pia nilishawahi ku-apply TPA na DDC na application zilikuwa successfully lakini baada ya Utumishi kufanya marekebisho pamoja na kujaza NIN siku nakuja ku-apply ikanigomea mkuu.

That's why nikasema nije kuuliza kwa wadau ambao tayari wana access ya kuweza ku-apply ili waweze kunipa muongozo wa nini cha kufanya kiongozi.
 
Kama uliitwa tanesco maana yake imekubali...tanesco ilikuaje ukakosa?
 
Tanesco niliitwa then baada ya hapo ndio wakaweka mfumo wa NIN kwa interview iliyofuata baada ya hiyo Utumishi walifanya marekebisho kwenye Ajira portal sasa nilijaribu ku-apply ikanigomea ikidai Academic Qualifications hazi-match mkuu. Sjui tatizo nini na sjui nakosea wapi.

Tanesco tulikuwa kama 700 na kitu then kwenye written wakapunguzwa kama 200 kasoro kidogo imagine watu wametoka mkoani, tukaingia kama 500 na kitu hivi, bahati mbaya nikatapata 49 na wao wanachukua kuanzia marks 50 hivyo sikufanikiwa kwenda kwenye practical mkuu.
 
System yao inazingua sana siku hizi unaweza kuta kwenye kazi wanataka mtu wa bachelor ya business administration uki apply wa bcom inagoma wakati zamani zilikua zinaingiliana tu
 
Mi nafikiri wangeacha kama ulivyo mfumo wa zamani ingerahisisha zaidi kuliko huu mfumo wa sasa watu wengi wanalalamika...!
 
Heshima kwenu wakuu.

Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa letu. Nahitaji msaada wenu wakuu kupitia Ajira Portal kwenye huu mfumo wao wa sasa.

Nashindwa kuelewa nakosea wapi kwenye hii website kila niki-apply naambiwa niangalie academic qualifications kwamba hazi-match na vigezo walivyovitoa kwenye tangazo husika la kazi, kuna interview moja nilishawahi kuitwa ilifanyika Duce ilikuwa ya Tanesco bahati mbaya niliishia written sikufika oral.

Sasa baada ya hapo wakaweka utaratibu wa NIN nimejaza ID number ila tatizo lipo kwenye Academic Qualifications, nikasema nije kuomba msaada kwenu wakuu mnisaidie hili suala ili nijue nakosea wapi wakuu.

Kwa yeyote ambaye ameshafanikiwa kupata kazi kwa mfumo wa huu wa sasa wa Utumishi au hata aliyefanikiwa kuingia written tu anisaidie kujua wapi nakosea ili niweze kurekebisha angalau nami niwe naweza ku-apply inapotokea position wakuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.

AHSANTENI.
Nami nimekutana na changamoto kama zako izo juzi kati zilitoka nafas za MSD,,, nilipoomba nikaambiwa academic qualification azimach lakin niliwahi kuomba tanesco na niliigwa nikapita had kwny practical ndo nikakwamia hapo.
 
System yao inazingua sana siku hizi unaweza kuta kwenye kazi wanataka mtu wa bachelor ya business administration uki apply wa bcom inagoma wakati zamani zilikua zinaingiliana tu
Sahizi wanataka watu wenye sifa zilizoainishwa tu kwa kada husika. Ukiwa na title tofauti tu system inakukataa.
 
Back
Top Bottom