Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,487
- 11,707
Mbona mimi ni Dereva wa boda boda lakini mademu hawanitaki...
boda boda yako itakuwa haivuki boda
Mbona mimi ni Dereva wa boda boda lakini mademu hawanitaki...
huduma za bure na exchange ya sex matokeo yake ni kujutia tu
Madereva boda boda siku hizi wanapumua kwa kupata free papuchi,huku dada zetu wakipata free transport,najua sio wote ila huu mchezo umeenea sana,hata via mobile phones most of women wana number nyingi za boda from different corners of the city than men,
hata sometimes wakilipa at minimum cost ,okey inawezakuwa ni status ya maisha yao na we are less concerned ila ni risk kwa magonjwa,mimba za kutojitakia,kujimilikisha bila kujitambua,huku ni kujishusha thamani tena sana
ukweli mkuu na ukichungu idadi kubwa ya abiria wa hao boda boda ni ke.
Viguest vya uchochoroni bodaboda ndio wateja wao wakubwa, lakini sioni ubaya hakuna mwanamke anayebakwa na hata wao ni binadamu pia.Sometimes wanaume tuna paranoia tu...mara madereva tax..mara waosha miguu
Hahaha mzinzi akikutana na mzinz mwenzake hutokea nn
Hiyo n ajira ya vijana bana
mkuu wanawake wengine wanahangaika sana,yani anagawa kwa boda ili apate usafiri wa kuchepuka hili ni janga
Ukijirahisi watakutia tuu sio bodaboda hata makonda nao watakubeba si umekua cheap
Mm natumia sana huu usafir kwenda na kurud job ila siwez mpa pupuchi dereva wa bodaboda hat a aweje
Nadhani huko nyuma dreva teksi wengi walikuwa wanawapata ke kiurahisi kwa njia hii hii, kwa sasa imagine bodaboda rate hata ya kulipa ni ndogo ukicompare na teksi. Wengine hutumika kupeleka ke kwenye michepuko yake na malipo ili asilikishe ishu c pesa bali nae anapewa uchi.
ogopa sana mwanaume anaefanya kazi saluni za kike.. bodaboda.. mafundi makucha nk.. hawa majamaa weka mbali na mkeo..