Mbona wanatuchanganya hawa? Covid19 kuongezeka wakati Bshite amesema tushaishinda korona watu warudie maisha yao kama awali.
Acha tu mkuu hawa wanasiasa wanafanya mzaha kwenye maisha ya watu, korona sio ya kuletea masikhara hata kidogo,Dr Mwele ameshangaa sana BASHITE alivyotoa tamko kwamba kuanzia Jumapili watu wapige kelele wapigwe shangwe waende beach, wafungulie mziki mzito sana na kama una gari piga oni za kufa mtu maana wameishinda korona Dr
Anashangaa kwanini watu warudi kama awali hata kama "Ugonjwa Umepungua" kwa mujibu wa "Dr" Bashite na Jiwe ilibidi wakae kwanza (Monitoring) kwa muda wa mwezi mmoja waangalie trend ya cases kwanza wakiona inazidi kudrop ndio wafikia hayo maamuzi yao!! Standard ni 30 days na ndio maana kenya wamefunga baadhiya mipaka yao huku TZ kwa siku 30.