Madenti wakicheza kibaba na kimama mstuni

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102

Wamekacha vipindi darasani na kwenda kucheza kibaba na kimama jamani huu mchezo waachiwe baba na mama tu. Hawa wakitaga lawama kwa walimu. Ni jikumu la kila mwenye machungu na makuzi na malezi kukemea huu mchezo wa ngono mashuleni kwa kuonyesha kwa vitendo, wa mama acheni kurubuni viserengeti boys na mafataki acheni kurubuni vibinti kwa chipsi kavu na mirinda.
 
Mkuu km ulifurahia hiyo mambo ktk ujana wako na uliona bonge la ujanja ndivyo wanao watakavyofanya hivyo hivyo!!
 
Hii inaitwa chabo nayo, ulikuwa unakunya porini nini?
 
Wamekacha vipindi darasani na kwenda kucheza kibaba na kimama jamani huu mchezo waachiwe baba na mama tu. Hawa wakitaga lawama kwa walimu. Ni jikumu la kila mwenye machungu na makuzi na malezi kukemea huu mchezo wa ngono mashuleni kwa kuonyesha kwa vitendo, wa mama acheni kurubuni viserengeti boys na mafataki acheni kurubuni vibinti kwa chipsi kavu na mirinda.

Kwahiyo???
 
Kwa uandishi huu ni kama ulifurahia hako kamchezo wanakocheza hao 'watoto'!
 
Hapana mkuu, niliwaacha waliridhishane baadae nikawapa somo la kutumia condom
 
inaonekana ulikafurahia hako kamchezo ungekuwa na uchungu kama ulivyoandika kwenye thread yako, palepale ungewafata na kuwaonya badala yake ukawachabo weee, ukaona haitoshi ukaamua uwafotoe kabisa then walivyomaliza ukawapongeza kwa ushauri wa kutumia ndom.
 
Back
Top Bottom