rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Kweli umeweza kumtanguliza bi mkubwa; barikiwa sana
naamini utapata ukamilishe bili zako na ubakiwe na ziada pia.
Nadaiwa:
Matumiz kwa bi mkubwa..
My fiancee..
Kodi ya nyumba..
michango ya kanisani..
Michango ya harusi...
matumizi kwa dogo shule...
BADO:
Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...
Nitakoma
Nadaiwa:
Matumiz kwa bi mkubwa..100,000
My fiancee..50,000
Kodi ya nyumba..600,000
michango ya kanisani..100,000
Michango ya harusi...200,000
matumizi kwa dogo shule...50,000
BADO:
Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...250,000
Nitakoma
Mlevi (cha'pii) nae abarikiwe ?
Basi hizo baraka hazitakua na ulazima kuzitafuta!
Kwako kila mtu ni mbaya;
Nahisi kuna wakati hata wewe mwenyewe unajiona mbaya.
Una maana m'baya wa sura au tabia?
Au vyote? (mithili ya kifungo sanjari na fine juu)
Hapo jibu ni wewe mwenyewe;
.......... wewe wasema.
ushauri mzuriNakushaur ondoa matumizi yasiokua na ulazma.kama ndofu na michango kwanza.
Sawa Mheshimiwa Judge!
Shauri zako;
Au unataka unifungulie uzi wa kuniomba msamaha.