Nyakisasa Empire
Member
- Sep 21, 2022
- 62
- 62
Tunakusanya madeni yenye ushahidi!Nyie mnakusanya madeni ya aina gani? Mnalipwaje wakati mtu kashindwa kulipa madeni mnayokusanya?
Yani mtu kashindwa kulipa deni halafu akulipe tena? Yani unanunua deni ili kuweka deni lingine nini faida yake na nini hasara yakeTunakusanya madeni yenye ushahidi!
Tunalipwa % ya kilichokusanywa
Umeelewa? Au unajiuliza na kujijibu?Yani mtu kashindwa kulipa deni halafu akulipe tena? Yani unanunua deni ili kuweka deni lingine nini faida yake na nini hasara yake
Ushahidi gani?Tunakusanya madeni yenye ushahidi!
Tunalipwa % ya kilichokusanywa
Iko hivi ndg, kawaida makampuni wanapofanya miamala ya kibishara kunakuwa na nyaraka za miala hiyo, huo ndio ushahidi wenyewe km umekopeshwa halafu ukashindwa kulipa kinachofanyika kuondoa usumbufu ktk kampuni kazi hiyo inakabidhiwa taasisi nyingine kufuatilia deni hilo kwa makubaliano ya kuwalipa kiasi fulani, na taasisi hizo zipo kisheria na hata namna wanavyofanya kazi wanazingatia sana taratibu za kisheriaUshahi
Ushahidi gani?
Serikali inatoa leseni kwa takataka?Hizo campuni zenu takataka za kukusanya madeni zinafilisi watu ..muko kimukakati nyie hamuna cha zaidi.
acha unokoWenye Madeni,Madeni yenu yameshalipwa?
Nyakisasa Empire wanasubili hizo kazi wawasaidie kuwafukuzia wadaiwa wenu!
Lipa deni! Ndio kazi ya Kampuni hulipi kwa hiyari tukija utalipa kwa nguvu!acha unoko
Kama kuna mtu namdai naitumia kampuni yenu mnaenda kudai???au sijaelewaLipa deni! Ndio kazi ya Kampuni hulipi kwa hiyari tukija utalipa kwa nguvu!
Kampuni yetu imesajiriwa kudai na kukusanya madeni toka kwa wadaiwa.Kama kuna mtu namdai naitumia kampuni yenu mnaenda kudai???au sijaelewa
Ahsante sana hakika hii huduma ni msaada sanaKampuni yetu imesajiriwa kudai na kukusanya madeni toka kwa wadaiwa.
Kuna Sababu mbali mbali za kutumia kampuni baada ya kudai mwenyewe;
* Umechoka ahadi toka kwa mdaiwa
* Mdaiwa hataki kukulipa sababu ya mazoea
* Mdaiwa anajua madhaifu yako
* Mdai kuepuka ugomvi na kuumizana toka kwa mdaiwa
* Kuepuka kupoteza muda wa kufanya shughuli nyingine.
Another kalynda on the wayWenye Madeni,Madeni yenu yameshalipwa?
Nyakisasa Empire wanasubili hizo kazi wawasaidie kuwafukuzia wadaiwa wenu!
Hahahaha, tuko tayari kupigwa ila mteja wetu atalipwaUnatafuta kupigwa kipapai wewe sio bure, watu wamechanganyikiwa sana sasa hivi ( Joke.)
Karibu sanaAhsante sana hakika hii huduma ni msaada sana