MADENGE ANAKAA MTAA GANI HAPA DAR??

MADENGE ANAKAA MTAA GANI HAPA DAR??

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,784
Reaction score
18,173
Ohooooo kama kawaida ni comrade hapa, a.k.a THE HUNTER! nadundadunda jukwaani hapa kama jabulani au kitenesi..

I use my keyboard to refresh my mind!

Ohoooo ebanaeee Leo ninekutana na swali la kijinga huko mtaani..

Kuna mshamba mmoja huko mtaani katoka mkoani eti ameniuliza madenge hapa dar anaishi maeneo gani

Ingekua wewe ungemjibuje?!
madenge.gif
 
Mtaa ule wa wagagagigigogoko lol mtaa ule Yupo Zena na Betina lol
 
Madenge saivi Kakua na mjeuri kama zamani Ana ofisi katika Boma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom