Mademu wengine siyo kabisa

Mademu wengine siyo kabisa

wanajua kuambiana shoga angu leo twnde tukamkomeshe mrugaruga flani hv
na wanatoka kwao hawAjala waje kukukomesha
danga hiloo
 
Kuna jamaa yng mmoja, tukiwa chuo tulikuwa tunamjua km ni mtata! Ilitokea sk 1 kuwa na dinner na sister duu mmoja, kwa maelezo ya mshikaji, ile dinner ilikuwa ndio kick yake ya kumu-approach mdada kwa mara ya kwnz!
Duu si akaja na mashost wwl, meza ikawa na watu wa4, jamaa akawaacha waagize! Wkt wanaendelea kujishaua, jamaa akaanza kushusha mistari ya kutongozea pale pale mezani, tena kwa sauti kubwa, kiasi hata meza ya 3 wanaskia!
Mlengwa wa TONGOZO akajifanya kuuwa soo kwa kumuambia "nanii hatuwezi kuongea hii issue mbele ya rfk zangu".
Jamaa: "na mimi siwezi kulipa bili mbele ya rfk zako!"
Jamaa akaenda kujilipia mwenyewe, akasepa kurudi hostel!

hiii llzm alishika akili loooooh.
 
I real man and confident one can never escape Bills. That's too bad. It's a shame of which hunts to excel.
 
Yaani utakuta demu anakunywa redbull tano, kama sio kutafuta ugonjwa wa moyo nini mademu punguzeni ushamba
 
Ndio tatizo la kuokota wanawake wa kwenye mabaa na madisco, pole sana
 
Kuna jamaa yng mmoja, tukiwa chuo tulikuwa tunamjua km ni mtata! Ilitokea sk 1 kuwa na dinner na sister duu mmoja, kwa maelezo ya mshikaji, ile dinner ilikuwa ndio kick yake ya kumu-approach mdada kwa mara ya kwnz!
Duu si akaja na mashost wwl, meza ikawa na watu wa4, jamaa akawaacha waagize! Wkt wanaendelea kujishaua, jamaa akaanza kushusha mistari ya kutongozea pale pale mezani, tena kwa sauti kubwa, kiasi hata meza ya 3 wanaskia!
Mlengwa wa TONGOZO akajifanya kuuwa soo kwa kumuambia "nanii hatuwezi kuongea hii issue mbele ya rfk zangu".
Jamaa: "na mimi siwezi kulipa bili mbele ya rfk zako!"
Jamaa akaenda kujilipia mwenyewe, akasepa kurudi hostel!

Daaaah!!!!!
Si mchezo kuna watu watata.
 
Ndio tatizo la kuokota wanawake wa kwenye mabaa na madisco, pole sana

Hapa sio kweli tena wale wa getini ndo wenye tabia hizi. Wa baa na disco anataka a amake hela saa akiongeza idadi ya watumiaji si zinapungua?
 
Raha sana. Wadada muwe mnaangalia first impression na kujisikiliza nafsi zenu. Moyo ukikataa usiende. Ukikubali nenda mwenyewe au na rafiki zako wakae meza nyingine wajitegemee. Mtu anatakaa muongee biashara wewe unapeleka kampuni kibao ambazo hara BRELA hazitambuliki. No sheeeeeder.
 
da wew noma ika si vizur mtu akuite sehem umletee watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom