Mi siyo dem we jamaa nimekwambia hao wanawake ulokutana nao ndio malimbukeni. Mi Ni mwanaume
pole sana.
Mi siyo dem we jamaa nimekwambia hao wanawake ulokutana nao ndio malimbukeni. Mi Ni mwanaume
Kuna jamaa yng mmoja, tukiwa chuo tulikuwa tunamjua km ni mtata! Ilitokea sk 1 kuwa na dinner na sister duu mmoja, kwa maelezo ya mshikaji, ile dinner ilikuwa ndio kick yake ya kumu-approach mdada kwa mara ya kwnz!
Duu si akaja na mashost wwl, meza ikawa na watu wa4, jamaa akawaacha waagize! Wkt wanaendelea kujishaua, jamaa akaanza kushusha mistari ya kutongozea pale pale mezani, tena kwa sauti kubwa, kiasi hata meza ya 3 wanaskia!
Mlengwa wa TONGOZO akajifanya kuuwa soo kwa kumuambia "nanii hatuwezi kuongea hii issue mbele ya rfk zangu".
Jamaa: "na mimi siwezi kulipa bili mbele ya rfk zako!"
Jamaa akaenda kujilipia mwenyewe, akasepa kurudi hostel!
Mpunguze masifa mkiwa mnatongoza may be ulikuwa unajisifia kuwa una pesa
Ko mtu hera yake inapimwa kwa kumkusanyia watu?