Mademu wakali!!!

Mademu wakali!!!

Status
Not open for further replies.
unasoma kidato cha ngapi.?

atakuwa form iii; ila anakimbilia mambo ya wakubwa. Mwanangu yuko form iii lakini maongezi yake si ya hivi. Yeye ataongelea mechi za ulaya, ataongelea likizo amtembelee nani, ataongelea mambo ya kwaya yao kanisani,

au huyu alianza shule akiwa na miaka 15 hivyo form iii tayari limeishakuwa libaba.
 
Namshauri sasa,

NENDA KUZIMU KUNA MAJINI YA KIKE MAKALI KWELIKWELI
 
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
Mtihani wa darasa a saba ulikuwaje? karibu duniani
 
Nenda Kasulu sehemu moja inaitwa ''Makaburi wazi'' utampata faraja ya nafsi yako na moyo wako utatulia. kila la kheri.
 
@Great Thinkers mnaniangusha sasa,mjibuni kulingana na uwezo alionao mtoa muda na sio zaidi ya hapo mtamchanganya!msije mkaonekana kama yeye mwisho wa siku,Thank you!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom