Mademu wakali!!!

Mademu wakali!!!

Status
Not open for further replies.
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
wewe kijana huna akili nawahurumia sana wazazi wako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla kwanini huna akili lakini???
 
Hahh!! Kweli ndio huyu alie kuja na huo uzi wa mabusu adharani. Haaah hahah Ha Ha!!! yule demu alikuwa ana haki kukufanyie vile .

Huyo mrembo unae mtafuta sasa hivi ata kupigia simu uende ukamuone anavyo gegedwa.
hahahha tena safari hii atamuita amuone akiliwa 0713
 
Join Date : 15th September 2013
Posts : 105
Rep Power : 323
Likes Received15
Likes Given0
tumsamehe bure
 
we ku jump jump tu!!
unataka upitie wote...kwani we unaishi wapi ..
hata ukiambiwa wahindi ndo wazuri una uwezo wa kummiliki!!
 
wewe kijana huna akili nawahurumia sana wazazi wako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla kwanini huna akili lakini???

nimekumbuka nyimbo za zamani za bongo fleva - mwanangu huna nidhamu, hata kidogo.
 
shukrani zangu ziwaendee Great thinkers wanaoendelea kuni-PM, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu!!
 
shukrani zangu ziwaendee Great thinkers wanaoendelea kuni-PM, ushauri wenu ni muhimu sana kwangu!!

Tehe tehe tehe!!!!!!
Kwikwikwikwikwiiii....
Nimeamini kuna masturbation za aina nyingi!
 
wa kumfanyia maamuzi sahihi huyu mleta siredi au yule bidada!!!!!!

hujamsoma vizuri hapa?

Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
 
au dogo naye anatoa hiyo huduma ya 0713 nini; mbona yuko ki hivyo.

Unajitangaza siyo,. Ni PM kama unatoa hiyo huduma mkuu, naihitaji sana hii kitu!!
 
Unajitangaza siyo,. Ni PM kama unatoa hiyo huduma mkuu, naihitaji sana hii kitu!!

Duh!!!! Unahitaji kuliwa kabang. kumbe we shoga? Mungu tunusuru watoto wetu wanaangamia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom