Kasome upya uzi wako then utajua. Namhurumia mzazi wako kwa kupoteza hela kukupeleka shule, bora angekununulia pikipiki ukafanya kazi za kusafirisha raia mitaani.
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.