zenmoster
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 951
- 202
wewe personally unapiga eeh maana statement yako tata...Nao wanapiga mizinga kama sisi. Na huku wapo pia wasiopiga mizinga
wewe personally unapiga eeh maana statement yako tata...Nao wanapiga mizinga kama sisi. Na huku wapo pia wasiopiga mizinga
Kesho sitashangaa ukija na hoja inayosema mademu wa kizungu hawajisaidii haja kubwa simply because hawaonyeshwi kwenye movie wakienda kujisaidia haja kubwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hata bongo kuna mademu decent ambao hawaendekezi njaa na dhiki mshenzi ambao hawapigi mizinga ya kijinga. That being said, mpende dem wako and take pride in providing for her hata kama hajakupiga mzinga. Surprise her and she'll genuinely love and have utmost respect for you. Akikupenda na asipokupiga mizinga sio basi kuanza ubahili wa kijingajinga!
Hata bongo kuna mademu decent ambao hawaendekezi njaa na dhiki mshenzi ambao hawapigi mizinga ya kijinga na kujidhalilisha. That being said, mpende dem wako and take pride in providing for her hata kama hajakupiga mzinga. Surprise her and she'll genuinely love and have utmost respect for you. Akikupenda na asipokupiga mizinga sio basi kuanza ubahili wa kijingajinga!
Abeeeeeee mkuu snochet..... Mie huwa natumia formula hii "PAY FIRST" Nukta!!!!!!!!!
Pamoja na kuwa mimi ni mwanaume, lazima tuwe wakweli kuwa hata mimi nimejifunza sana ughaibuni kutoka kwa wanaume wa huku.
Gifts, suprises, trips ... zikiwa hazipigi chenga, mwanamke hakuombi hela. Ataona hata aibu.
Shida ya mademu wa kibongo ni kuwa wanawatumia wanaume kama baba zao kimatumizi na kama kaka zao kingonoNimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.
una biashara gani?
Unauza vipaja au vibawa?Mama ntilie Restaurant....
Hahaha...wasichana/wanawake wenye dhiki ndio wapigao mizinga(hii term bado ni tata) mkuu.
Huwa kuna matumizi ya kawaida ambayo mke huyapata kwa mumewe, sasa wasichana ambao hawajaolewa wamekuwa wakijihesabia haki ya mke na kujiona nao ima faima inapaswa watunzwe kwa kiwango sawa na walioolewa.
Hii sidhani kama ni sahihi, kuna mipaka na kiwango cha kusaidia nayo hutegemea ridhaa na hulka ya moyo wa mwanaume.
Zipo familia ambazo zikishaona mwanao wa kike kapata Boyfriend, basi watataka wale UBWABWA kila siku, wanunuliwe TV, banda ya uani limaliziwe,ada ya wadogo shule n.k n.k....hii ndio mizinga yenyewe maana huyu hajawa mume bado na hayo si majukumu yake unless karidhia.
Yaani demu akipata boyfriend anaona kama kapata ajira.
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out kula kila moja atalipa.
Hii tabia ya kuombaomba mademu wa bongo wameiiga wapi? Maana ukilala naye lazima akupige mzinga kama kakuuzia. Mbona wabongo mnalaana hv kila ubaya mnao nyie. Bora mtu uchukue wanaojiuza rasmi kona baa ujue moja.
Unauza vipaja au vibawa?