Mademu wa kinyarwanda

Hivi kwanini kila siku ni Mademu..Wanawake...Mademu..Wanawake...Mademu ....

Hizi thread zinakera vile! kha!

Wengine sijui hawajakaa kwenye matumbo ya Mama zao? Au walikulia kwenye incubators? khaa!
Mkuu hebu google Sigmund Freud utaelewa ni kwa nini kila siku habari ndiyo hiyo. Halafu mkuu hili jukwaa ni MMU we ulitegemea ukutane na nini siasa?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya "MAPENZI" na " SEHEMU ZA SIRI" na "KUFANYA TENDO LA NDOA"!!! Tatizo kubwa watu wenye "akili dhaifu" wanahisi haya maneno ni sawa sawa!
Kitufye cha senksi hakionekani aisee. Unastahili zawadi kwa udadavuzi huu. Mkuu ongezea nyama basi kdogo.
 
dah man.....upo same na mimi,yani hapa kuna litoto la kagame nimelala nalo siku tano sijaligonga,coz likitaka kujua kama nalipenda ama vp,lipo so hot na hana tofauti na huyo unayemsema,yupo so natural,na wiki hii keshanialika kwake...nadhani nitarudi soon kukuinform bt wht i knw wanyarwanda ni wazuri na hawapendi kujiremba black yao inapendeza mno na wapo confidence kwenye ''mpango mzima'' sio waoga kabisa,ni wapole ...ila kwa mtazamo wangu ni demu wa kuhit(hata kama ni for long time) and then run....dont forget ''zana'' mkubwa!!!
 
ningekuwa mkaka ningeoa mtoto wa kinyarwanda manake ni wazuri kuliko kawaida, wapo kwa wingi hapa Arusha wakware karibuni ila muwe na mkwanja wa ukweli sio njaanjaa
 
Acha matusi wewe ukware wangu hapo unaingiaje. Halafu wewe si uliaga hapa.........au unawashwa??Acha kuharibia watu siku bila sababu. Anyway nime-edit hapo kwenye visimi
wewe acha matusi huku mwelewa alichosema ni kweli umekosea kuweka yale maneno ambayo kimaadili siyo mazuri,huku kuna watoto watu wazima nk, hivyo lugha ya kistarabu muhimu
 
Chelle nashukuru sana, hapo kwenye kijani ina maana anaogopa nitamdai????!!!! Na kama hajanikubali kiivyo kwa nini yuko nami kwa muda wote huu? Hapo kwenye nyekundu, ni kwamba sehemu tuliyoenda ni ya kawaida sana....halafu mi nilikuona pale nikajificha lol.......Hapo kwenye bluu ina maana kujiremba ni kutojiamini??? Hebu fafanua kidogo, we hujirembi chelle au nawe pia hujiamini(kama unajiremba).

Siwezi jua lililoko kwenye akili yake ndo maana nimesema inawezekana......siwezi sema anakupenda au hakupendi.....
mi nilikuona sana sema utu uzima dawa nikaona nisikuharibie na mtoto mzuri,mlipendeza kwa kweli......mimi najiremba kwa kuwa kidogo ngozi yangu ina doa za chunusi na mikunjo ya uzee....l.o.l
Kujiremba si kutokujiamini.....ila siku zote kuna kitu kinapelekea wewe kujiremba....japokuwa wapo wanaojiremba kwa kutokujiamini pia!!!:wink2:
 
Kwa kifupi naomba kufahamishwa.

Hapa magriit thinkaz wanajadili nini hasa jumatatu hii?:rain:
 
dah man.....upo same na mimi,yani hapa kuna litoto la kagame nimelala nalo siku tano sijaligonga,coz likitaka kujua kama nalipenda ama vp,lipo so hot na hana tofauti na huyo unayemsema,yupo so natural,na wiki hii keshanialika kwake...nadhani nitarudi soon kukuinform bt wht i knw wanyarwanda ni wazuri na hawapendi kujiremba black yao inapendeza mno na wapo confidence kwenye ''mpango mzima'' sio waoga kabisa,ni wapole ...ila kwa mtazamo wangu ni demu wa kuhit(hata kama ni for long time) and then run....dont forget ''zana'' mkubwa!!!
Mkuu hapo kwenye nyekundu ni kama ulikuwepo vile, Ila mimi sijalala nalo lakini lina-demand kujua kama nalipenda kabla ya mambo yote......kaaaaaaaazi kwelikweli. Rudi mzee utoe mauzoefu zaidi.
 
Nimemuuliza Lizzy ila sijaridhika ...Wewe xperience yako ikoje?
Namjua mmoja ni mchunaji mzuri kwahiyo inawezekana anataka kukuingiza mkenge kwakuonyesha hata usipend pesa nyingi kwake ili aje kukuchuna vizuri ukishaingia line!Alafu anajipodoaga mpaka anatisha..sasa sijui kama yeye hana comfidence kama wenzake au la!Nwyz majibu yote unaweza kuyapata kwa huyo mdada ukiwa mjanja!Alafu ogopa sana mtu anaependa kujisifia!
 
Mkuu hapo kwenye nyekundu ni kama ulikuwepo vile, Ila mimi sijalala nalo lakini lina-demand kujua kama nalipenda kabla ya mambo yote......kaaaaaaaazi kwelikweli. Rudi mzee utoe mauzoefu zaidi.
Hivi mtu unaemuita "li" unakua na hisia nae kweli?
 
Namjua mmoja ni mchunaji mzuri kwahiyo inawezekana anataka kukuingiza mkenge kwakuonyesha hata usipend pesa nyingi kwake ili aje kukuchuna vizuri ukishaingia line!Alafu anajipodoaga mpaka anatisha..sasa sijui kama yeye hana comfidence kama wenzake au la!Nwyz majibu yote unaweza kuyapata kwa huyo mdada ukiwa mjanja!Alafu ogopa sana mtu anaependa kujisifia!
Hyo nyekundu ni sababu mojawapo iliyonifanya nianzishe hii sredi. Endelea kutoa mauzoefu zaidi.
 
Hivi mtu unaemuita "li" unakua na hisia nae kweli?
Usiogope Lizzy, hapo li inasimama kuwakilisha kuwa ni toto la kagame yaani kwa maneno mengine toto zuriiiiiiiiii hahaha............Ukifuatilia posti niliyojibu utaelewa fresh.

Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom