Mademu wa kinyarwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mademu wa kinyarwanda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Da Womanizer, Feb 21, 2011.

 1. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika pita pita zangu hapa JF nimeshuhudia mara nyingi sana hawa mademu wakimwagiwa sifa kemkem...kama vile wana maji ya kutosha, v.s.m. virefu......na nyinginezo nyingi. Sasa juzi kati nimegundua kuwa kumbe hata wao wanyarwanda wanajua kuwa watz wanawasifia, stori yenyewe inakwenda hivi;
  Nilikutana na mtoto mmoja wa kinyarwanda na baada ya stori mbili tatu tukabadilishana namba. Kama baada ya siku moja au mbili nikapanda hewani, tukaongea fresh tukakubaliana kukutana sehemu tupige stori zaidi. Basi bwana ile tunafika tu sikumpa nafasi nikamwaga sera, majibu yake ndiyo nilikoma jmanake kwanza anadai wao watoto wa kinyarwanda ni wazuri sana na pia ni watamu sana na wanajua mambo si mchezo. Kwa kifupi alikuwa anaringa mbaya.
  Dhumuni hasa la kuandika hii habari ni kwamba ninaomba wajuzi wanisaidie kuhusu mambo yafuatayo:-

  1. Hivi wanyarwanda hawapendi kujiremba? Manake huyu mrembo hatumii vipodozi zaidi ya mafuta labda na hata pamba zake ni za kawaida sana lakini pia sio kwamba ni mchafu, ni msafi wa kutosha.
  2. Kuna siku nilitoka naye nje (out). Sasa sehemu tuliyoenda msosi ni expensive kidogo, huwezi amini alikataa kuagiza chochote kwa sababu tu ni expensive na hiyo ni baada ya kumuhakikishia kuwa hakuna wasiwasi nitalipa. Ningependa kujua kama ni tabia zao au kuna kingine hapa.(Anaweza kuwa anatafuta kukubalika zaidi, if u knw wat I mean).
  Naomba kujulishwa kuhusu hayo na mengineyo kuhusu hii specie.
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nachelea kuchangia maana kuna hayo maneno hapa nadhani si mahala pake na ingekuwa kwenye jukwaa la wakubwa ingeeleweka na mtu angekuwa free kuchangi.

  Asante hata hivyo kutueleza ukware wako.
   
 3. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acha matusi wewe ukware wangu hapo unaingiaje. Halafu wewe si uliaga hapa.........au unawashwa??Acha kuharibia watu siku bila sababu. Anyway nime-edit hapo kwenye visimi
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lugha uliyotumia siyo nzuri. Jaribu kufanya marekebisho iendane na jukwaa hili. Lakini mimi niseme tu kwamba wanawake wa kinyarwanda wengi wao ni natural. Hawapendi kupakaa makrimu ya ajabu ajabu. Ebu mwangalie mke wa Kagame na Museven walivyo. Utapenda. Siku nitakayombahatisha mmoja sijui kama kutakuwa na halftime. Ni bandika bandua mpaka kieleweke.
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nakumbuka nikiwa na miaka 15 kuna wanyarwanda walikuja kupanga kwa jirani ye2 bac nilivunja nao amri ya 6 mpaka bac,watamu kweli
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu lugha ipi iliyokukwaza?
   
 7. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Achana na huyo mpemba, anajifanya anajua sana, aliaga hapa akaenda mombasa, yaliyo mkuta uko ndiyo yamemfanya arudi tena JF.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna mawili,yawezekana kweli anakuone huruma kwamba pale ni expensive au ana sababu yake ya kutokula hilo eneo.......!!!

  pili,yawezekana moyoni mwake hajakukubali hihivyo,so hataki uingie gharama kubwa sana kwa ajili yake......na pia kuna watu wanapenda kula sehemu za kawaida ambako kuna vyakula fresh zaidi kuliko huko expensive unakula mavyakula saa nyingine yana harufu....wakati mama ntilie kila siku vyakula fresh....l.o.l:wink2:

  Kuhusu kujiremba,wanawake wa kinyarwanda wana confidence sana na ngozi zao,na wana ngozi nzuri....mara nyingi tunaweka make-up kufunika baadhi ya kasoro kwa ngozi zetu au kung'arisha,sasa kama ya kwake iko clear,afanyeje?anaiacha ilivyo!!!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimefurahi kuona rangi zako nyingine?ukware hapa u wapi? mrekebishe mtu vizuri,wewe unayoletaga hapa tungeyaita ukware,manake mengine yamekaa kikware kweli!!!!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanini kila siku ni Mademu..Wanawake...Mademu..Wanawake...Mademu ....

  Hizi thread zinakera vile! kha!

  Wengine sijui hawajakaa kwenye matumbo ya Mama zao? Au walikulia kwenye incubators? khaa!
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa hayo maswali yako ilipaswa uchukue likizo uende Rwanda angalau mwezi mmoja utajua mengi sana. Lakin pia huyo mnyarwanda bado unae, endelea kuruka nae utajua mengi sana.
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :rain::rain::rain:...
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Unatafuta kabila au mwanamke??? Mie huwa sipendi mtu anayezungumzia ukabila, udini, uraia kwaheri
   
 14. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue...inabeba sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya sasa.
  Ni ndoto hata kwa wanamuziki kuacha kutunga nyimbo zenye maudhui ya mapenzi...maana yametuelemea ndio sababu ya MAMBO YA WANAWAKE/WANAUME/MAPENZI kutawala saaaana majukwaani.
  Ni mtazamo wangu binafsi.
   
 15. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chelle nashukuru sana, hapo kwenye kijani ina maana anaogopa nitamdai????!!!! Na kama hajanikubali kiivyo kwa nini yuko nami kwa muda wote huu? Hapo kwenye nyekundu, ni kwamba sehemu tuliyoenda ni ya kawaida sana....halafu mi nilikuona pale nikajificha lol.......Hapo kwenye bluu ina maana kujiremba ni kutojiamini??? Hebu fafanua kidogo, we hujirembi chelle au nawe pia hujiamini(kama unajiremba).
   
 16. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaka likizo za Rwanda mi siziwezi salio halisomi kabisaaaaaaaaaaa
   
 17. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naulizia utamaduni na jinsi walivyo ili niwaelewe vizuri kipipi moyo wangu......
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kuna tofauti kubwa sana kati ya "MAPENZI" na " SEHEMU ZA SIRI" na "KUFANYA TENDO LA NDOA"!!! Tatizo kubwa watu wenye "akili dhaifu" wanahisi haya maneno ni sawa sawa!
   
 19. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Comment yangu imekukosesha Amani? I am sorry..................
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Nakushauri tu ndugu yangu muulize mwenyewe au ndugu zake au marafiki wake kwa njia tofauti bila wao kuelewa lakini mimi aahhhh
   
Loading...