Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Mademu wa leo kama
upo KIBAHA ww upo TANDIKA,
Utäckia ona thatha mapenz gan yenyewe
haya c bora tuachane,
lakini kama upo U.S.A
utackia baby mm nakupenda ntavumilia mbaka urudi tuowane!
upo KIBAHA ww upo TANDIKA,
Utäckia ona thatha mapenz gan yenyewe
haya c bora tuachane,
lakini kama upo U.S.A
utackia baby mm nakupenda ntavumilia mbaka urudi tuowane!