Kwani mnafuata physical appearance,ama how intellect,passionate,loving,caring, na qualities zingine mwenza anazokuwa nazo?
Au mnanunuaga machangudoa nyie wnaume wenzangu?
mkizaa mtaacha tu haya maneno.
baeleze baelewe........
Kweli kitambi kwa wadada bongo ni janga la kitaifa.. yani vipo walawala. Sio vile ambavyo mtu akibana tumbo au akivaa nguo kinapotea...yani utadhani zaidi ya nusu ya wadada wa Dar ni wajawazito. Wengine unakuta wembamba...uwezekano wa kuwa na shepu nzuri upo ila kitambi kama cha kwashakoo kinaharibu kila kitu.
Acheni uvivu mpunguze vitambi...ukiwa na cha siri kitakua kati yako n mpenzi/mchumba/mume wako...sio unafanya watu washindwe kuelewa kama wakupe hongera ya ujauzito au la!!!
Wewe una kitambi?

Mkuu, hata wao wenyewe ukiwauliza kama wanavipenda vitambi hivyo au la sidhani kama watasema wanapenda hali hiyo. Lkn haya ni matokeo ya kutojali na kupuuza tamaduni zetu na kukumbatia usasa, miongoni mwa sababu ya hali hii kwa bibi, mama, dada au hata binti zetu ni: (i) Ulaji usiozigatia afya bora (ii) Utumiaji wa hizi dawa za majira kwa wanawake (iii) Kutofanya mazoezi n.k.
baeleze baelewe........
Uongo dhambi leo umenkosha kama nini..