Mademu Wa Kibongo!

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,217
6,349
Jamani naomba kuuliza jambo hapa: Hivi kwa nini mademu wa kibongo wanapenda vitambi?

Mfano utakuta demu bomba ile mbaya akiwa amekaa sehemu, anapoinuka utaona mtumbo huo kama mlevi wa matap tap, na mademu wengi wa kibongo haswa wa hapa Dar wako hivi.

Swali; je ni ujiko? Kingine, hamjui kwa kuwa na vitambi kama hivi kunatufanya tusidinde? Maana inakuwa kama unalala na mwanamme mwenzako, jamani inakera!
 
Ukiona ana kitambi na unampenda, mwambie afanye phyisical exercise kitaisha baada ya muda. Hilo ni jambo dogo sana, wala haliumizi kichwa unless una shida nyingine!! Pouwa.
 
Si kwamba wanapenda vitambi ila inatokea tu kutokana na vyakula ukichanganya na bia kadhaa. wengine ni matumbo ya uzazi hawakuyadhibiti baada ya kujifungua na hapa naongelea kujifungua kawaida.

Ukimuona mdada ukampenda nina uhakika ukimwambia kuhusu kitambi atafanya juu chini akipunguze. angalau siku hizi kuna uelewa kuhusu vitambi na unene usio na mpangilio.
 
Leo Friday, watu walianza kunywa mapema, wakaibiwa wapenzi na wanaume wenye vitambi. loool
 
...culture of ignorance.(ni mwendelezo wa utamaduni wa uzembe) Watu hatujali twala nini, ilimradi kinafurahisha mdomoni. Hata mbuzi anachagua kinachofaa mwilini.
 
Jamani naomba kuuliza jambo hapa: Hivi kwa nini mademu wa kibongo wanapenda vitambi? Mfano utakuta demu bomba ile mbaya akiwa amekaa sehemu, anapoinuka utaona mtumbo huo kama mlevi wa matap tap, na mademu wengi wa kibongo haswa wa hapa Dar wako hivi. Swali; je ni ujiko? Kingine, hamjui kwa kuwa na vitambi kama hivi kunatufanya tusidinde? Maana inakuwa kama unalala na mwanamme mwenzako, jamani inakera!

vitambi hawavipendi ila vinakuja automatic na kufanya mazoezi ya kuviondoa ni wavivu. Pia hilo jambo hautaepukana nalo kwani huwa wakishazaa mara moja tu ndo wanafumuka utadhani wana mimba changa nyingine
 
Kwani mnafuata physical appearance,ama how intellect,passionate,loving,caring, na qualities zingine mwenza anazokuwa nazo?

Au mnanunuaga machangudoa nyie wnaume wenzangu?
 
Back
Top Bottom