ARIGATO GOZAIMASHITA
New Member
- Oct 17, 2018
- 3
- 1
Write your reply...Waambie waache shobo
sio ajabu hata prepal hajaenda kadanki uvungunibila shaka huyu atakuwa na simu shule katoka prep alivyosoma hajaelewa akaamua kuja kutapika uzi humu
hawana adabu hao mabinti ebu nitumie namba zao niwakanye hiyo tabia..Jamani naombeni ushauri mimi ni kijana 26 year hivi na mimi ni mjasiliamali
sijaoa wala sina mtoto lakini cha kushangaza mademu wananisumbua balaa
kuna wasichana tuliachana nao shule zamani lakini mpaka leo wananipigia simu wanataka ndoa daaah....
imagine anakupigia simu unakuta uko busy unamwambia muongee badae lakini umpigii badae lakini kesho utaona tena anakupigia..
halafu wala hawajari kwamba ni muda wa kazi au upo free wenyewe ni kupiga tu.
halafu cha kushangaza walio wengi sijawai fanya nao kitu chochote lakini wanaonekana kama wananitaka kwa udi na uvumba
kwa siku uwa napokea simu sio chini ya 5-7 za mademu tofauti tofauti wakati huo mimi uwa niko busy na kazi zangu
wengine mpaka wanaapa kujiua wakati sijawai waambia chochote kuhusu ndoa
sasa mimi najiuliza hivi kwanini wananiangaikia namna ile hata sipati jibu
kuna kipindi nilienda kusoma nje 4 years lakini niliporudi tu tayari wakajua kupitia ndugu zangu na wakaanza tena .
kiukweli kati yao wote bado sijaona msichana wa kuoa naombeni mnishauri nifanyeje maana wengine wanatishia kujiua kwa sababu yangu, but mi najiuliza nitawezaje kuepuka ?
naombeni ushauri maana sijaplan kuoa mpaka nifike 30 hivi halafu nahitaji msichana type yangu yaani mjasiliamali kama mimi ..
nataka niwaache wote naombeni ushauri nifanyeje ili nifanikiwe?